Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,422
Katika kali ya kawaida huwezi kuamini kwa nini Tanzania inataka kujiingiza kwenye vita isiyokuwa na macho. Nimefuatilia kwa ukaribu kabisa na kuona kwamba tunajitafutia matatizo makubwa kwa kile kinachoonekana kama kuutokomeza Uhalamia wa Kisomalia ( Al-shaaba). Nimesikia matamko ya vingozi wetu kwenye international arena ( fora) na kinachoonekana sasa ni Al-shabaab. kwa nini tuingie kwenye vita na hawa mahalamia wakati tunajua kuwa ni ngumu. Tujiulize kwanza khali ya maisha ya watanzania kwa sasa Kiuchumi tupo taabani kabisa na kwa nini sasa tujikite kwenye vita isiyo na macho. Tuwaache Majilani waendelee na hiyo vita lakini matokeo yake ni wazi kuwa HAKUNA ushindi pale i.e tuangalie NATO na Afganistan na na tutaona ni nini majilani zetu watakivuna toka kwa Ma piracy wa Kisomalia..
Tujikite kutatua matatizo yetu kwanza na tuwe makini kwa hili maana viongozi wetu wa kisiasa wanataka kutupeleka ndiko siko.
Tujikite kutatua matatizo yetu kwanza na tuwe makini kwa hili maana viongozi wetu wa kisiasa wanataka kutupeleka ndiko siko.