Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 301
Kwa kadri nilivyowasikia wawakilishi wa hivyo vyama vikuu vya upinzani inanipa hamasa kuwa kuna siku suala la katiba mpya kuwaunganisha who knows.
Mtatiro wa CUF- ikibidi kuchimbika patachimbika
Marando wa CDM- wananchi tuukatae huu muswada kabla haujawa sheria
Mvungi wa NCCR- nimeongea na Slaa tuone uwezekano wa kuupinga huu muswada
Mbowe wa CDM- kama bunge litaupitisha kama ulivyo tutarudi kwa wananchi
Kwa haya machache inaonyesha kabisa uwezekano wa hivi vyama kuwa na sauti moja huko mbeleni.