Kuna kila aina ya sababu kuwa elimisha polisi bila kujali cheo chake.!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimeona kumekuwepo na kundi la askari polisi kuelimishwa jinsi ya kuendesha shughuli za kipolisi bila kuathili shughuli za kisiasa!nikiangalia kwa undani na gundua polisi hawaja elimishwa ,kisaikolojia kutambua kuwa tupo katika mfumo wa vyama vingi!nakuelezwa kuhusu viongozi wavyama vya upinzani aswa wakitaifa nisawa na viongozi wa chama tawala hivyo hivyo kwa wabunge,kwani wao uona mbunge wa chama tawala ndiye mbunge na wengine wavyama pinzani kuwa si wabunge halisi!hiyo ndiyo mentaliti waliuonayo polisi kuanzia cheo cha juu hadi cha chini!!Ndiyo maana ma asikari polisi tunaweza kuona wanakuwa na uthubutu wakuwapiga viongozi wa vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao bila ya kuwa na woga!!sasa umefika wakati bunge kutunga sheria yakuwalinda viongozi wakitaifa wavyama pinzani ili waweze kuwa na hadhi,kinga sawa na wachama tawala lasivyo tutaendelea kuona wakinyanyaswa kubezwa na dola!!nawengine walioko madarakani wanatumia muanya huo kuwadhoofisha kisiasa.
 
Back
Top Bottom