Elections 2010 Kuna idadi kubwa ya askari wa kutuliza ghasi (ffu)tunduma mpakani

msaragambo

Senior Member
Aug 6, 2008
127
17
Leo asubuhi kuna kundi la askari wengi wa kutuliza ghasia wakiwa wamevalia mavazi rasmi tayari kwa mapambano,pia wameongozana na gari la upupu

Askari wametawanyika kila sehemu,haijulikani kuna tatizo gani maana hali ni swari na hakuna dalili ya fujo kila mtu yupo katika harakati zake za kawaida za maisha

Chakushangaza ni kwamba hawa askari wamekuja saa ngapi na kwanini wakati hakuna fujo wala dalili ya kuvunjika kwa amani kulikoshindikana kuwahitaji FFU

Watu wanaendelea na shughuli zao za kila siku na wasitake kutuletea balaa hawa hawana kazi?

IMG00716-20101020-0825.jpg
 
Au ndo hizo kura feki za JK wametumwa kuzilinda na kuhakikisha zingine zinapita bila mawaaa
 
Heeeeeee! Wanafanya nini tunduma tena kamji kenyewe kadoogo kweli!
 
Wanataka kulitorosha ilo gari la kura chakachuaji
Hilo halipo tena hapo tunasubiri tu watu wanaopenda nchi yao waseme root yake! linaelekea wapi!? NA MUNGU ATATUONYESHA TU NAAMINI HILO!
 
Leo asubuhi kuna kundi la askari wengi wa kutuliza ghasia wakiwa wamevalia mavazi rasmi tayari kwa mapambano,pia wameongozana na gari la upupu

Askari wametawanyika kila sehemu,haijulikani kuna tatizo gani maana hali ni swari na hakuna dalili ya fujo kila mtu yupo katika harakati zake za kawaida za maisha

Chakushangaza ni kwamba hawa askari wamekuja saa ngapi na kwanini wakati hakuna fujo wala dalili ya kuvunjika kwa amani kulikoshindikana kuwahitaji FFU

Watu wanaendelea na shughuli zao za kila siku na wasitake kutuletea balaa hawa hawana kazi?

View attachment 15533
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.
 
Kwani wewe huwaoni kwenye hiyo attachment?
 
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.
Ndio mmetumwa eee Na mwaka huu Mtatafuta pa kutokea mshazoea mishahara na posho zisizokuwa na jasho....... Angalia attachment hiyo
 
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.

wamekuwepo hapa mbeya mjini kwa siku kama mbili wakirandaranda na gari lao la upupu, kwa hiyo kuweko huko tunduma si ajabu.
 
Back
Top Bottom