Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo)

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Salam zangu kwako msomaji, niko vema kiafya, kisaikolojia na hata kiutamaduni pia.

Kuna haka katabia kapo mitaani kanatokea kwetu, marafiki zetu na ndugu pia. Ni hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita
mmoja bar au sehemu ya kupunga hewa na kupata moja moto, baridi au juisi na hata maji tu... Lengo linakuwa kurefresh mind sehemu tofaut na mazngira ya kaz au masomo. Unaamua kumpigia simu rafikiyo au mpenziyo aje mbadilishane mawili matatu ama mpate lunch au dinner n.k wanakuja watatu
mpaka watano, halafu wakifika wataagiza vinywaji tena vya gharama (Redbull, Savanna, sometime wine nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku, baga kila mmoja.
Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

Je wadada nanyi mnakutana na hili mnapowaita wakaka sehemu kama hizo?
 
hji thread ni ya hapa jamani? wewe mgeni jf nini? mods mna kazi sio mchezo
 
Hili jambo lilikwishajadiliwa kiupana kule kwenye jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki

Haya, sasa, nenda katafute majibu huko yako tayari.

Wasalimie
 
Kabla hawajaja Unatakiwa uwe nawenzio ili kama wakija wengi mnagawana kila mtu anaondoka na wake
 
nini maana ya advice na complain?
hapa kitengo tunadeal na advice,complaints na advice kwa jamii forums tu. sio general,nini kifanyike jf,nini kinakuudhi humu,au swali lolote linalohusu jf sio mambo ya duniani huko.
ina maana mkeo akiweka chumvi kwenye chai utakuja kulalamika hapa sio?
 
hapa kitengo tunadeal na advice,complaints na advice kwa jamii forums tu. sio general,nini kifanyike ,nini kinakuudhi humu,au swali lolote linalohusu jf sio mambo ya duniani huko.
ina maana mkeo akiweka chumvi kwenye chai utakuja kulalamika hapa sio?

Asante Smile umenijibu kama JF Premium Member. Atleast nimejua my mistake!
 
Asante Smile umenijibu kama JF Premium Member. Atleast nimejua my mistake!
karibu u premium member mr paxman
zaidi ya kuwa premium member mimi ni customer care hapa.ukiwa na shida usisite kuniambia
karibu sana jf
mery xmas
 
Kabla hawajaja Unatakiwa uwe nawenzio ili kama wakija wengi mnagawana kila mtu anaondoka na wake

Nahic umejibu kwa mtazamo ambao unaamini kuwa namwita ili tu do eti? Noo! Maybe mlisoma naye primary huko vijijin then ukaamua umwite lunch ili mpige tustori ndo wanakuja watatu au tano. Kuna haja ya kugawana hapo?
 
Mimi huwa nasoma alama za nyakati mapema! Nikiona wapo kikundi natafuta sababu yeyote nahamia kiwanja kingine kabla ya maumivu. Naweza kupokea simu ya uongo, najifanya nakimbilia muhimbili hospital haraka kutokana na emergency.
Na wao baada ya muda mfupi lazima watawanyike tena kwa kukopana nauli. Mademu wa vyuoni njaa sana hasa boom likikata!
 
karibu u premium member mr paxman
zaidi ya kuwa premium member mimi ni customer care hapa.ukiwa na shida usisite kuniambia
karibu sana jf
mery xmas

Ooh! Thanks tutafka huko juu. Nimejaribu kutafuta article inayoelezea how to move frm member to Junior Member mpaka Premium bt cjaiona can I get its link plz?
 
Smile anataka mwanaume wa kumuhonga msimu huu wa sikukuu kwa ajili ya matumizi madogomadogo, vip utaweza? Yeye huwa anakuja peke yake, hivyo ondoa shaka la yeye kuja na convoy la wasichana wenzake wenye njaa kali

Ooh! Thanks tutafka huko juu. Nimejaribu kutafuta article inayoelezea how to move frm member to Junior Member mpaka Premium bt cjaiona can I get its link plz?
 
Mimi huwa nasoma alama za nyakati mapema! Nikiona wapo kikundi natafuta sababu yeyote nahamia kiwanja kingine kabla ya maumivu. Naweza kupokea simu ya uongo, najifanya nakimbilia muhimbili hospital haraka kutokana na emergency.
Na wao baada ya muda mfupi lazima watawanyike tena kwa kukopana nauli. Mademu wa vyuoni njaa sana hasa boom likikata!

hahah! Ni kweli lakin kama uliyemuita unamheshimu sana nadhan hii solution inaweza weka tabaka
 
Back
Top Bottom