Kuna hatari ya ccm kunyang'anywa cheti cha usajiri na tendwa muda wowote ule.

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Nina wasiwasi kwamba kwa hii tabia iliyoanza ziku za karibuni za makundi kwa makundi ya wananchama wa CCM kukimbilia CHADEMA kama Tendwa atasema anafanya review kuangalia kama vyama vilivyosajiliwa bado vinacomply na requirement ya kuwa na idadi stahiki ya wanachama bara na visiwani, atajikuta anaking'anya hiki chama Cheti cha usajiri kwa sababu ya kutokukidhi idadi ya wanachama wanaohitajika.
 
mbona ccm haina usajili unajua hilo wewe na tendwa alikiri mwenyewe cheti kipi tena?
 
Hata mimi nimejiuliza hili swali, ila sitaki itokee ili wabaki kuwa wapinzani waone kazi inavyotakiwa kufanywa
 
Kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa nchini, CCM automatic walikuwa chama cha siasa kilichosajiliwa mwaka 1992 bila ya CCM yenyewe kuomba usajili. Sheria hiyo ambayo ilitungwa na CCM wenyewe inatamka bayana kwamba CCM haitafuata masharti ya usajili ya vyama vingine vya siasa vianvyotaka kusajiliwakwa msajili wa vyama vya siasa.
 
TOBA, Kwa hiyo hata hii review nayozungumzia hapa ikifanyika CCM haiguswi? kumbe haka ka nchi kana mambo ya ajabu sana ehee!!
 
nahisi wakisikia hivyo,mkuu lazima amsitafishe tendwa haraka na atasema amefanya hivyo for public interest..........manufaa ya umma
 
He jama,kumbe ni mawazo yako.Nilidhani umepata taarifa kutoka kwa mwandani wa Tendwa au Tendwa mwenyewe.Hapa hakuna kitu.
Nina wasiwasi kwamba kwa hii tabia iliyoanza ziku za karibuni za makundi kwa makundi ya wananchama wa CCM kukimbilia CHADEMA kama Tendwa atasema anafanya review kuangalia kama vyama vilivyosajiliwa bado vinacomply na requirement ya kuwa na idadi stahiki ya wanachama bara na visiwani, atajikuta anaking'anya hiki chama Cheti cha usajiri kwa sababu ya kutokukidhi idadi ya wanachama wanaohitajika.
 
Mkilala mkiamka mnaiota CCM. Bado u wachanga sana, mnahitaji kujisafisha kwenye uongozi wenu kwanza.

Naomba kuuliza, hivi uwiano wa wabunge wa viti maalum kikanda ukoje kwa chadema?
 
kweli labda niwape mfano mmoja. wilaya ya mwanga ina wanaccm 7000 ukiondoa wale wa kura za maoni ambao wanakadiriwa kuifikia 15,000 idadi hii ni pamoja na hao genuine 7000. Juzi hapa kwa mikutano michache kuna wanachama zaidi ya 2000 wameshift kutoka magamba kwenda gwandaz. hii ni kwa nikutano ya hadhara tu. Bado Anorld Kilewo anafanya mambo hapa Mwanga na jana aliingiza zaidi ya gwandaz 500 hapa mjini tu. Sijui huko toloha usangi na kazalika hali ikoje. kama kuna reviews huko kwa msajili ni vyema akafanya ili ifikapo mwaka 2013 tusiwe na DP wala CCM kwani naamini CCM itajimaliza rasmi baada ya kumaliza uchaguzi wao unaendelea sasa.
 
Japo ccm siipendi kabisa lakini siombei ivo, kwani nina hamu ya kuwashuhudia akina chiligati jinsi watakavyobehave wakiwa chama pia upande wa upinzani
 
Kama yeye na wenzake watafaulu kuepuka kimbunga. Kumbuka kwa kimbunga hiki wengi watakosa ubunge. Hivyo unaweza kukuta idadi yao ikawa kama ya wabunge wa Chadema wa sasa. Yaani watalowa maji ile mbaya.
 
Mkuu unajua madhara ya kuinyang'anya CCM cheti cha usajili? Nchi itabaki bila serikali na bunge sijui kama litakuwepo kwa kuwa wabunge waote wa CCM watakuwa wamepigwa chini! Hii inaweza kutokea tu kwenye ile nchi ya Shabaan Robert yaani nchi ya kusadikika.
 
Unamaana sheria zetu sio msumeno.
 
Kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa nchini, CCM automatic walikuwa chama cha siasa kilichosajiliwa mwaka 1992 bila ya CCM yenyewe kuomba usajili. Sheria hiyo ambayo ilitungwa na CCM wenyewe inatamka bayana kwamba CCM haitafuata masharti ya usajili ya vyama vingine vya siasa vianvyotaka kusajiliwakwa msajili wa vyama vya siasa.
Mkuu nimelazimika kuipitia sheria hii na kukuta maelezo yako sio sahihi. CCM haikulazimika kupitia mchakato wa vyama vingine mwaka 1992 lakini inawajibika kutimiza masharti yote ya sheria hiyo kama vyama vingine.
 
Awanyanganye cheti gani wakati hawa jamaa hawanacho?Au unafurahisha baraza.

Kwa mujibu wa kifungu cha saba cha sheria ya vyma vya siasa CCM inatakiwa kuwa na cheti cha usajiri, kama haina basi kinaendesha shughuli za siasa kinyime na sheria za nchi.
 
Nina wasiwasi kwamba kwa hii tabia iliyoanza ziku za karibuni za makundi kwa makundi ya wananchama wa CCM kukimbilia CHADEMA kama Tendwa atasema anafanya review kuangalia kama vyama vilivyosajiliwa bado vinacomply na requirement ya kuwa na idadi stahiki ya wanachama bara na visiwani, atajikuta anaking'anya hiki chama Cheti cha usajiri kwa sababu ya kutokukidhi idadi ya wanachama wanaohitajika.

Katika moja ya mahojiano mbalimbali kati ya Tendwa na wandishi wa habari aliwaikusema CCM hakusajiliwa kwa msajili wa vyama vya usajili,kwa sababu hiyo CCM haina usajili,je atawafutia nini?
 
Section 7, of the political parties act, 1992:Duty of Political Parties to Register
subsection (2) "Notwithstanding the provisions of subsection (1) of this section Chama cha Mapinduzi also known as CCM which was immediately before this Act, the sole political part for the whole of the United Republic shall, on the coming into effect of this Act, and without further requirement, be deemed to have been fully registered as a political party and shall be issued with a CERTIFICATE OF REGISTRATION in accordance with this Act"
 
Back
Top Bottom