Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

Mifano ni mingi na inakera
...Ndesamburo na binti yake na mkwe wake.
....Lema, Kiwia, Selasini, Kimaro etc hao ndio wenye nafasi CDM, wengine wanaonekana ni watoka mbali....ndo maana Zitto amekalia kuti kavu.
......Angalia madiwani wa CDM waliofukuzwa Arusha, 75% ni wa kabila lile lile.
NI UKABILA KWA KWENDA MBELE.

Mkuu naomba unitajie makabila ya madiwani walio fukuzwa.
- hivi kwa ishu ya lema, selasini c waligombea wakashinda? Je wangeshindwa?
- na hao madiwani je kuna mtu alio watuma wapingane na chama?

Je wasingepingana na chama wangefukuzwa? Na vipi walivyo ambiwa waombe msamaha? Je wangeomba bado wangefukuzwa?
 
Kwa nini wananchi wasiambiwe ukweli kwamba mkwe wa Mzee John Malecela, Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es), alipendelewa kupewa kazi katika ubalozi wetu ingawa hakustahili kupewa kazi hiyo?

Kwa nini tunazungumzia ufisadi wa viongozi wengine, na upendeleo wao kuwasaidia ndugu zao, bila mijadala hiyo kufutwa hapa Jamii Forums, lakini tukimzungumzia John Malecela na watoto wake na wakwe zake wanaopendelewa kupata kazi, mijadala hiyo inafutwa mara moja?

Hata watu ambao hawakuamini wana anza kuamini kwamba ni kweli mtoto wa Malecela, au watoto wa Malecela na ndugu zake wengine, wana nguvu inayo wawezesha kufanya uamuzi nini kichapishwe na nini kisichapishwe hapa Jamii Forums kuhusu John Malecela na familia yake. Na ndiyo maana ukweli ulio andikwa hapa jamii Forums kuhusu Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) uliondolewa mara moja ili wananchi wasijue ukweli huo.

Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) ana uelewo mdogo sana. Mara nyingi, anashindwa kujibu maswali hata ambayo ni rahisi sana. Au anajibu vingine kabisa na kuandika majibu ambayo hayana uhusiano kabisa na maswali aliyo ulizwa. Akishindwa kujibu maswali, anaanza kuwatukana walio muuliza maswali na ambao wemembana kwa kutumia logic. Kuna hata wana Jamii ambao wameuliza: "Ana akili gani huyu Field Marshall Es"? Yaani Neema Ngwilulupi Malecela. Wengine wameuliza: "Ana elimu gani huyu?"

Ni jambo la kusikitisha.

Jambo lingine la kusikitisha ni kwamba ingawa Field Marshall Es ana tabia ya kuwatukana watu Jamii Forums, hajawahi kuchukuliwa hatua, na matusi yake hayafutwi labda kwa sababu, kama watu wengine walivyosema, kuna mkono wa Malecela katika Jamii Forums unao endesha mijadala, na unao futa mijadala kuhusu familia ya Malecela wanayotaka ifutwe ikiwa yaliyo andikwa kuhusu familia yao hawayapendi ingawa ni ukweli.

Nguvu ya ukoo huo katika Jamii Forums imeonyeshwa pia na William Malecela, mtoto wa Mzee John Malecela ambaye ni mume wa Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es), alipoharibu mjadala kuhusu Dr. Slaa mpaka mjadala huo muhimu ukafungwa.

Huo ubabe wa kuingilia mijadala na kuichafua, na kuwalinda watu ambao wako katika familia ya Malecela ingawa wana tabia ya kuwatukana watu wanao changia Jamii Forums, unaonyesha nguvu ya mafisadi na familia zao na wanavyo wanyanyasa wananchi wa kawaida, na wanavyo fanya kila kitu kuzuia ukweli kuhusu maovu yanayo tendeka na ukoo wa Malecela na viongozi wengine wabaya usijulikane kwa wananchi.

Lakini ukweli haubadiliki, na hautabadilika.
lolz mkuu umecheza kama Zidane vile.....umemaliza kila kitu.....
 
Fe lady tizama unavyojivua nguo simply you have no clue na unachosema nenda ufanye research wacha majungu! - Le Mutuz
user-online.png
W. J. Malecela

19th April 2009 22:05
#44
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 15th March 2009
Posts : 1,942
Rep Power : 67

[h=2]
icon1.png
Re: Tangazo Maalum: Kwa Wana JF Tu![/h]
quote_icon.png
By Pretty
Kumbe Malecela hana mtoto wa kiume! wote wametangulia mbinguni. Hivyo huyu aliotoa tangazo hapa ni Family member kumbe!
Hongereni naona party ilifana.

Samahani wakuu wangu JF, ni kwamba sina access ya mtandao, hapa nimeazima tu laptop ya mtu, ni kwamba:-

1. Sherehe zinaendelea kama zilivyopangwa, jana ilikuwa siku ya watoto wa yatima, leo zimehamia nyumbani Sea View, kuna wana JF waliojitokeza hapa saafi sana.

2. Pia naomba kugusa kidogo huu ujumbe wa ndugu mmoja hapo juu kuhusu watoto wa Mzee Malecela, ni ishu ambayo imekwua ikisemwa kwa muda mrefu sana, lakini cha muhimu ni kwamba ukweli uko wazi na Tanzania kama kawaida huwa tunasumbuliwa sana na waandishi makanjanja ambao huandika bila kuuuliza maswali muhimu sana ya kiandishi na hivyo kuishia kuupotosha umma, ni kwamba Mzee Malecela ana watoto wafuatao:-

- Waliotangulia mbele ya haki ni watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike, na sio wawili kama Michuzi alivyoandika, nao ni wakiume Senyagwa Malecela, Mkwawi Ippy Malecela, na wa kike ni DK. Irene Malecela.

- Waliobaki ni saba, sio watatu kama ilivyosemwa na Michuzi, nao ni kwa umri:-

1. Wiiliam Malecela.
2. DK. Mwele Malecela.
3. DK. Secelela Malecela.
4. Mwendwa Malecela Bisendo.
5. Tully Malecela Mwaipopo (Adapted)
6. Samweli Malecela.
7. Nyagwa Malecela.

3. Sasa kati ya hawa watoto wakiume ni wawili, na wengine ni wa kike, sasa ukichanganya na watoto wanne wa mkewe ambaye alimuoa hivi karibuni
wanakuwa ni watoto 11, kwa sababu ukioa mke si na watoto wanakuwa wako!

- Kwa hiyo hii habari ya Michuzi ndio hasa bongo tunaouita uandishi wa ukanjanja.

Kwaherini na tutaonana tena soon, hapa uwanjani.

William.
 
Fe lady tizama unavyojivua nguo simply you have no clue na unachosema nenda ufanye research wacha majungu! - Le Mutuz

Mimi sina tatizo na Mdogo wako kuwa pale UN Newyork,unavyobisha Malecela hana ndugu anayefanya balozini dunia nzima,unakuwa hueleweki mkuu
 
wanakuwa ni watoto 11, kwa s

William.

And who's Who at the Tanzanian Mission in the United Nations?

Ms. Tully Malecela Mwaipopo
Second Secretary
Legal Affairs
212-972-9160 ext.21
mwaipopo@tanzania-un.org

Au mtoto wa ku-adopt sio mtoto? Mkuu she is legally your sister hata kama hukuzaliwa nae tumbo moja.
No research, no right to speak. lakini uzuri wa JF wala huitaji kufanya research kwa sababu Hansards zipo.
JF rocks. Thanks Yoyo
 
Mimi sina tatizo na Mdogo wako kuwa pale UN Newyork,unavyobisha Malecela hana ndugu anayefanya balozini dunia nzima,unakuwa hueleweki mkuu
Dada hana majibu zaidi ataanza kutishia anakujua utasikia anaanza kukuita majina akiotea otea.....si umesikia kamuita matola mwaika...

huu ni ushahidi bana
H.E. Mr. Ombeni Y. Sefue
Ambassador
Permanent Representative to the United Nations
Overall Head of Mission
212-697 - 3612 ext.24
balozi@tanzania-un.org

Mr. Justin N. Seruhere
Minister Plenipotentiary
Disarmament and International Security, CTC (1373), WMD (1540)
212-697 - 3612 ext. 27

jseruhere@tanzania-un.org

Mrs. Maura W. Mwingira
Minister Plenipotentiary
Head, Information and Communication

212-697 - 3612 ext. 19
mmwingira@tanzania-un.org

Mr. Modest J.Mero
Minister Plenipotentiary
Economic and Financial Matters
212-972-9160 – ext. 28
mero@tanzania-un.org

Major Wilbert Ibuge
Minister Councellor
Military Attache
212-972-9160 ext.16
wibuge@tanzania-un.org

Mr. Seneta Makongoro
Councellor
Special Duties

Justin Kisoka
First Secretary
Administrative and Budgetary Matters
212-972-9160 ext.13
kisoka@tanzania-un.org

Ms. Tully Malecela Mwaipopo
Second Secretary
Legal Affairs
212-972-9160 ext.21
mwaipopo@tanzania-un.org

Ellen Maduhu
Second Secretary
Social Humanitarian and Cultural Issues, Women (1325), Children in Armed Conflict, Refugees, IDPs
212-972-9160 – ext. 22
maduhu@tanzania-un.org

Ms. Rose Mkapa
Administrative Attache
212-972-9160 ext. 25
mkapa@tanzania-un.org

Mr. Emmanuel Swere Alfred
Finance Attaché
212-972-9160 – ext. 12
swere@tanzania-un.org

Na yeye mwenyewe Wille alisema Tully ni ndugu yake.....hapa chini...
user-online.png
W. J. Malecela

19th April 2009 22:05
#44
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 15th March 2009
Posts : 1,942
Rep Power : 67

[h=2]
icon1.png
Re: Tangazo Maalum: Kwa Wana JF Tu![/h]
quote_icon.png
By Pretty
Kumbe Malecela hana mtoto wa kiume! wote wametangulia mbinguni. Hivyo huyu aliotoa tangazo hapa ni Family member kumbe!
Hongereni naona party ilifana.

Samahani wakuu wangu JF, ni kwamba sina access ya mtandao, hapa nimeazima tu laptop ya mtu, ni kwamba:-

1. Sherehe zinaendelea kama zilivyopangwa, jana ilikuwa siku ya watoto wa yatima, leo zimehamia nyumbani Sea View, kuna wana JF waliojitokeza hapa saafi sana.

2. Pia naomba kugusa kidogo huu ujumbe wa ndugu mmoja hapo juu kuhusu watoto wa Mzee Malecela, ni ishu ambayo imekwua ikisemwa kwa muda mrefu sana, lakini cha muhimu ni kwamba ukweli uko wazi na Tanzania kama kawaida huwa tunasumbuliwa sana na waandishi makanjanja ambao huandika bila kuuuliza maswali muhimu sana ya kiandishi na hivyo kuishia kuupotosha umma, ni kwamba Mzee Malecela ana watoto wafuatao:-

- Waliotangulia mbele ya haki ni watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike, na sio wawili kama Michuzi alivyoandika, nao ni wakiume Senyagwa Malecela, Mkwawi Ippy Malecela, na wa kike ni DK. Irene Malecela.

- Waliobaki ni saba, sio watatu kama ilivyosemwa na Michuzi, nao ni kwa umri:-

1. Wiiliam Malecela.
2. DK. Mwele Malecela.
3. DK. Secelela Malecela.
4. Mwendwa Malecela Bisendo.
5. Tully Malecela Mwaipopo (Adapted)
6. Samweli Malecela.
7. Nyagwa Malecela.

3. Sasa kati ya hawa watoto wakiume ni wawili, na wengine ni wa kike, sasa ukichanganya na watoto wanne wa mkewe ambaye alimuoa hivi karibuni
wanakuwa ni watoto 11, kwa sababu ukioa mke si na watoto wanakuwa wako!

- Kwa hiyo hii habari ya Michuzi ndio hasa bongo tunaouita uandishi wa ukanjanja.

Kwaherini na tutaonana tena soon, hapa uwanjani.

William.
 
Hilo suala la mdongo wake Tully Malecela....Wille inakuwaje arifu? umesema malecela hana mtoto wake kwenye balozi zeeetu zote na huyo ni nani?? mwenyewe ulishatuwekea orodha ya watoto wa mzee John Tully akiwemo.....

Wakuu Rose Mkapa hana uhusiano wowote na mzee Mkapa?
 
Yo Yo welcome back,toka umechezea ban kumekuwa Yo Yo wengi tu humu ndani hadi ikani confuse, ila nadhani wewe ndo original maana ni wa 2008.
 
Udugunaizeshen ulimshinda Nyerere na kama haujafanyiwa kazi hautakwisha leo wala kesho. Watu waajiriwe kwa vigezo vya taaluma zao na kupasi "interviews" kihalali. Interview zisifanywe na wizara, idara au taasisi husika. Kampuni zinazo "specialize" mambo ya kuajiri, zipewe vigezo nazo ndio ziwe watahini wa waajiriwa. Na watapo ajiri mtu "incompetent" walipie gharama zote.
 
Soma kichwa cha thread halafu nani kaileta, halafu ona wanavyofanana na washawasha, sasa atueleze wao ni pacha?
Hilo halinihusu nafuatilia thread "Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu" nikitaka kujua kama ni pacha au la nitawauliza kwenye PM....not here....usibake thread....tafadhali sana
 
Back
Top Bottom