Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wanJF

He he he utaprovide ulingo kwaajili ya wale wanajf wa jukwaa la siasa?maana naona wangeweza kurusha ngumi humu ndani itakuwa vurugu mechi.watu wa arusha mnakutana wapi?
 
:becky:unajua kwann watu hawataki kukutana?wanaogopa kukutana na DISAPPOINTMENTS coz most of them are looking 4 the best cute ppo.....tukikutana itakuwa safi sana kwa wanajf wote....tupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuu..........................:majani7:
 
Good ideal kila pahala wakutane then tupeane feedback humuhumu mtandaoni,
lakini hata tukikutana on line ni bora zaidi.
 
Wazi zuri sana
lakini nikimjua mtu sana itakuwa
ngumu kuchangia poster zake ipasavyo....
 
Kuna watu walileta feedback humu baada ya kukutana....eeh ilikuwa balaa!! Mwingine kadai kumbe wanaJF ni masharobaro,wengine eti eti kukutana nae tu kaniomba tigo....balaa tupu.
 
twaogopa jeshi la ccmagamba kutuweza rumande na mabomu chozi,ila subiri hadi cdm tuwe madarakan
 
Kuna watu walileta feedback humu baada ya kukutana....eeh ilikuwa balaa!! Mwingine kadai kumbe wanaJF ni masharobaro,wengine eti eti kukutana nae tu kaniomba tigo....balaa tupu.
<br />
<br />
Ahah ha..
 
Mimi nishakutana na mwana JF mmoja.Kanisaidia sana kama ndugu wa damu moja.kwa kweli sijaamini.Nipo dar kama nipo kwa wazazi kumbe nipo kwa mwana JF mwenzangu.
Asante JF.
 
Inaonekana wazi kuwa, si sheria kwa wanaJf kukutana, na ndio maana mada hii ipo kwenye ukumbi wa sheria...
 
Back
Top Bottom