Nicazius
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 143
- 17
Ndg. Wazalendo, nimefuatilia sana hizi safari za Mhe. kwenda Marekani naona sasa zimenichosha, safari zimekuwa nyingi, na anakaa muda mrefu kiasi kwamba shughuli nyingine inabidi afanyie Marekani kama yeye pia ni raia wa Marekani kwa kisingizio cha Tanzania.
Hivi kweli Maraisi wengine wa Afrika nao wanakuhusudu Marekani kama Mhe. Si bora ahamie huko tujue moja.
Mimi naona bora Mhe. apewe uraia wa Marekani ikiwezekana awe Gavana au Seneta kabisa, kwani hizi safari zitapungua kwani atakuwa ndani ya Marekani kuliko hasara anayoitia Taifa na wakati deni la Taifa linazidi kuongezeka.