Kuna Haja Gani Ya Mtu Kudanganya Umri?

Aah! jamani!!!
Everybody deserves a little privacy...
Mimi nikiamua kuficha umri wangu, shida iko wapi...
Kwanza, mimi ni miongoni mwa watu wanaodanganya umri wao...
Sifanyi hivyo kwa ajili ya interests fulani. Sipendi tu, mtu ajue umri wangu...
Kwani shida iko wapi???
 
Kazi ipo mie naanza na kutaja umri wangu 35!!
tuendelee!!!!
Mpaka sasa babu yuko mmoja tu hapa...Ndiyo ninakwenda 61 lakini watu wakiniona wanadhania niko late 40's...thanks to my fitness centre.
Roza hiyo picha ya avatar kama ni yako naniya siku za karibuni,you can get away with 19.Umejaliwa...mapaka babu kadondosha miwani
 
unadanganya umri hlf baada ya mwaka uso wote umekunjamana uzee,memory imepotea shida tupu.jamani tuwe wa kweli.
 
Ugonjwa huu wa kudanganya umri upo sana kwa wanawake. Sijui kwa nini lakini wanawake wengi wanapenda kudanganya umri wao. As for me, i don't care, nasema umri wangu bila kusita na mara nyingi people think i'm younger than my age.
 
...Bongo ni kudanganyana tu mpaka kieleweke. Wengi wanaodanganya ni kwa sababu ya kujikataa. Watu wanaogopa kutaja umri wao halisi kwakuwa mafanikio na matarajio yao hayalingani na umri wao. Jibaba litamdanganya binti ili kidogo afanane naye aweze kumnasa. Potential employee atamdanganya mwajiri ili apate kazi tarajiwa.Soccer player atasema yeye ni under 17 ili acheze Copa Coca-Cola n.k
 
Nakuunga mkono. mi nafukuzia 44 ila haya mapombe watu wakinionaga wanasema nina above 55.

mi hata sisemi niko kwenye early30s lakini ukiniona kama late 40s hivi jamani ni shida tu! cjadanganya lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom