Kuna future gani kwenye hili?

Adm

Senior Member
Sep 19, 2010
149
45
Hivi mtu anayesoma course hizi 1.Bsc(Animal science) 2.Bsc(Food science and technology) 3.Bsc(Wildlife management) 4.Bsc(Applied zoology).Mtu anapograduate moja wapo wa kozi hizi anaajiriwa kama nani hasa serikalini au sekta binafsi?. Naamini kwamba ndani ya jf kuna watu wenye ufahamu wa mojawapo au baadhi ya kozi hizo,kama si hivyo basi kuna watu waliosoma/wanaosoma kozi hizo.Hivyo basi naombeni mnifahamishe
 
Hayo unayoulizia si ugoogle kwenye nchi za ulaya pia utapata idea ila najua zipo poa na lazima kuna kazi... Google weka job description pia katika search yako huku ukisubiri kama watu humu watakujibu utakuwa unapata kuelewa mwenyewe

Nimesahau website za uni nyingi zinaweka cozi na kuelezea kazi itakayoendana na profession aliyosomea mtu again google
 
hiyo wildlife management usipime mwanangu,ukienda tanapa ni inteview nakuanza kazi,alafu siunajua wanavyolipa salari,alafu kunavyuo vichache vyenye kujulikana ukienda za mtaani ujue umelowa.mweka moshi,johanesburg south africa na frankfut german,kunavyuo vitatu au vinne kama sikosei hapa duniani vinavyo toa hiyo kozi.
 
Asante mwana,ukipata infos kwa hizo kozi zingine naomba utupie hapo
 
Future unaitengeneza wewe mwenyewe mkuu,ukiwa na elimu unaweza kujiajiri pia.Usitangulize sana mambo ya kuajiriwa.
 
Unaweza kuajiliwa kama Fish Technologist Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Bsc(Food science and technology)
Au TFDA kama Food Technologist
 
Hivi mtu anayesoma course hizi 1.Bsc(Animal science) 2.Bsc(Food science and technology) 3.Bsc(Wildlife management) 4.Bsc(Applied zoology).Mtu anapograduate moja wapo wa kozi hizi anaajiriwa kama nani hasa serikalini au sekta binafsi?. Naamini kwamba ndani ya jf kuna watu wenye ufahamu wa mojawapo au baadhi ya kozi hizo,kama si hivyo basi kuna watu waliosoma/wanaosoma kozi hizo.Hivyo basi naombeni mnifahamishe

  • Animal Sccience; Graduate ninaowafahamu ni maafisa mifugo kwenye halmashauri za wilaya(madaktari wa mifugo wa mikoa na wilaya)
  • Food science and technology wapo kwenye viwanda vya kusindika vyakula na vinywaji{azam, pepsi n.k} wengine wanafundisha Chemistry mashuleni
  • wildlife Management wapo TANAPA {wanaajiriwa na hifadhi za taifa k.m selou, Ngorongoro n.k} wengine wako kwenye research institutes na agencies mbalimbali za UN. Huko mikoani kuna vitu vingi sana vinafanyika na graduates wengi sana wankula bata huko.
 
shukrani Azikiwe
 
Back
Top Bottom