Kuna faida gani viongozi kuwa na nyadhifa kwenye mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja

Kanguni

Member
May 9, 2011
26
1
Wakati huu ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, naomba wanaJF mnisaidie kujua ulazima wa mfumo unaoruhusu viongozi wetu kuwa na nyadhifa katika mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja...
Yaani waziri ambaye ni kiongozi wa juu kwenye mhimili wa Serikali, ndo huyo huyo pia ni sehemu muhimu ya mhimili mwingine ambao ni Bunge... kwanini mtu asichague moja? kwani wanaoweza kazi hizo ni wao tu?
Iwapo ni vema kiutendaji waziri awe amepitia ubunge, basi kuna madhara gani akishateuliwa uwaziri asiache ubunge? au akitaka ubunge asiache uwaziri wala asinyemelee cheo mahakamani!!!... ili kuepusha conflict of interest kwenye ufanisi wa dola?
 
Back
Top Bottom