Kuna election za mamoderator??

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo.

ps:msininukuu vibaya sijasema nataka kuwa moderator,me nauliza tu
 
Brother sijajua vigezo kama vilivyo ila naweza kukusaidia baadhi ya vigezo.
Lazima uwe mwenye huruma,upendo,ustahimilivu,uelewa wa mambo na mcha Mungu.
 
Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo.

ps:msininukuu vibaya sijasema nataka kuwa moderator,me nauliza tu

Changia JF mkono mtupu haurembwi.
 
Back
Top Bottom