Kuna dawa ya kuondoa Haemmorhoid moja kwa moja?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Nimewahi kusikia kwamba Haemmorhoid haina dawa zaidi ya zile za kutuliza inapotokea kama Annusol.

Je habari hizi ni kweli au kuna mtu anayefahamu kama kuna dawa ya permamanent ya Haemmorhoid?
 
Operation/surgery tu.

Hilo halina mjadala mazee, ila kama unaweza, kule lushoto kuna botanical garden moja ina miti mingi yenye medicinal properties na wanasema hata hemorrhoids zinaweza kuondoa (pia hutibu prolapse)

Jaribu kuulizia, but the best is surgery!!!
 
Unaweza kutaja jina la miti hiyo ili huyu mwenzetu aitafute?
 
Operation/surgery tu.

Nasikia kuna watu wamefanyiwa surgery lakini ilirudi! Kuna mdosi moja ambaye ameenda mpaka India na akaspend mihela kibao lakini haikusikia dawa!

Au kuna stage amabayo hata surgery haifui dafu?
 
Back
Top Bottom