Kuna dalili zote... nitaisaliti ndoa yangu usiku wa leo.................!

BADILI TABIA Unajua jana nilitaka kumuingia huyu BInti wa KI-South na zile gia zangu za "MUUZAJI SI ANAJULIKANA....!" lakini nikaogopa yasije nikuta yale ya BRUCE LEE kule AVALON CINEMA kama wakati uleeeee......................LOL

Hatimaye Mtambuzi umeonekana! Hongera kwa kushinda majaribu manake wifi yangu yaelekea anasugua goti sana kuiombea ndoa yake! Shetani ameshindwa
 
Last edited by a moderator:
Hapo uliweza,
na kesho arudie tena tuone maujanja yake.

Hahaha hahha hahha!
Yani wewe mdingi ndui ukazima simu ili tusikushtukie km ulikamatika lol!,
Kwa taarifa yako ilikuwa ngoma droo maana nilimwalika yule prof anayeniombaga no za mama kwa chakula cha usiku na sie tukaenda kulala na kumwacha mama anaongea naye mambo ya kunitafutia chuo cha nje ya nchi so wewe endelea tu na semina sie tuko poa hata mama akisikia uko na huyo mzulu wala hatamind ukumbuke tu kutumia dawa ya penzi,

BTW,Narudi kulala coz Rejao wangu leo haendi job,na uwe na wakati mwema baba.
 
Bishanga ........Mchana huu nitaongea na wanahabari wa JF katika Hoteli ya Bwawani hapa ZNZ.
Nitatoa ufafanuzi juu ya jambo hili ili kuondoa utata......
kuanzia saa sita mchana nipo hapa bwawani na notibuku yangu mbona sikuoni mkuu? kwanza ilikuwa urudi na ndege gani toka bondeni?
 
Mtambuzi mbona umeache thread yako ina hang,haina hitimisho wala konklusheni?
Bishanga ..........Jamani si nimewaambia niko huku Zanzibar kwenye Semina? Tena usiku huu nitakula Dinner ya chakula cha usiku na Zinduna, ni mwana JF pekee ambaye amenikirimu...............LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom