Kuna dalili zote... nitaisaliti ndoa yangu usiku wa leo.................!

achana naye huyo mkuu,kaandae uzi wa ijumaa.....Muogope Mungu,mpende Mkeo...
Hata akili ya kuandaa uzi wa Ijumaa isharuka hapa...........
Kumbe ndio maana Mzee Jacob Zuma anawakusanya tu kila uchao.................Mabinti wa Kizulu..... Mungu alijua kuwaumba.........LOL

reed_dance_south_africa.jpg
 
mshahara wa dhambi ni mauti,ikimbie zinaa,yaani ni aibu iliyoje kwa wanao kuwa baba yao ni mzinzi asiyemheshimu mama yao,acha bwana kwani utatumia dakika ngapi!kwani hyo raha unakaa nayo muda gani?
Nimeshayashinda majaribu mengi tu...............
Huyu kwangu ni cha mtoto
 
mchuzi wa mbwa unanywewa ukiwa wa moto, wee chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
Kongosho ingekuwa ni enzi zangu zile za ujana yaani Miaka kumi iliyopita.......damu inachemka enzi zile naitwa GUSTAVO......
Huyu wala asingechukuwa raundi...............lakini kachelewa
 
Last edited by a moderator:
Nope Mtambuzi, ana maana ya kondom.
Nishasahau kwamba inavaliwa kwenye dole gumba lipi..... maana alikuja mkurufunzi wa mambo ya ukimwi kazini kwetu akawa anatufundisha kuvaa kwenye kidole gumba, lakini nishasahau kuwa lilikuwa ni dole gumba la mkono wa kulia au wa kushoto........!
 
vaa kwenye dole la katikati almaarufu kama mkongojo
 
Pete ya ndoa sijavaa kidole kina fangasi........................
Ndio nipo nipo naye hapa naendela kukemea pepo mbaya wa ngono asije niingia maana binti mwenyewe anafakamia AMARULA kama hana akili nzuri
We jipigie tu bana,nani atajua?
 
Nishasahau kwamba inavaliwa kwenye dole gumba lipi..... maana alikuja mkurufunzi wa mambo ya ukimwi kazini kwetu akawa anatufundisha kuvaa kwenye kidole gumba, lakini nishasahau kuwa lilikuwa ni dole gumba la mkono wa kulia au wa kushoto........!

Duh, mtoto kama wa ukweli sana hakuna haja ya dawa ya penzi. Kwanza hawanaga ukimwi...
 
Back
Top Bottom