Kuna dalili za ukombozi wa kweli TZ…watawala bado wako gizani...hawataki kujifunza kwa wengine....

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Imefika mahala sasa kwa kila mtu makini kuielezea hali halisi ya TZ katika the most critical and extreme way possible…maana hali halisi ya sasa TZ haielezeki otherwise. ..Tunaona versions tofauti za extreme critics humu JF…..maprofessor wazalendo wanaongea…viongozi wa dini wanaongea, viongozi wastaafu wanaongea, viongozi wa upinzani wanaongea na hata wana harakati wanapiga makelele…..wamebaki tu nchi wahisani nao kuanza kupiga kelele…….hii ndio hali halisi ya nchi hii iliyochoka….kila mtu anatoa critics kwa watawala hawa…..bahati mbaya sana bado wamelala……wako gizani.....

Tuanze hapa na mfano mmoja kati ya mingi……..siku ile ambayo polisi wa Songea walipoamua kuwapiga mabomu na risasi raia walioamua kuandamana kudai haki zao za kulindwa na dola…siku ile rais JK alikuwa UK (to attend a meeting just to fill participant’s list for a joint communiqué on Somalia)baadae nikasikia eti yuko Botswana akitafuna ngenya na mangepa wa Botswana..….Makamu wa rais…Dr.Bilal...yeye alikuwa Rukwa akinyeshewa na mvua,….waziri mkuu Pinda alikuwa Shinyanga akijitutumua(alishawahi kuwalilia albino wa kule)….hata baada ya tukio lile la Songea sikumwona hata mmoja wa viongozi hawa wakuu TZ akitoa tamko la serikali (ukiacha tamko la police wanaohujumiwa kuua) pamoja na kwamba raia waliuliwa na jambo lile lilitangazwa na vyombo vya habari duniani e.g BBC..nikamsikia mjinga wao mmoja waliyemtuma kupeleleza (Chagonja) akibwabwaja eti tuwe wazalendo kwa nchi yetu kwa kutowasikiliza wanahabari kama BBC….what an idiot they sent to Songea eh!!yaani wanataka hata kutunyima uhuru wa habari hawa..…..Unajiuliza vipi viongozi hawa wakuu hawakai ofisini?kwani mawaziri wao wanakuwaga wapi wasitembelee wao mikoani ama kufanya ziara za nje???..unapata jibu moja tu…..kuwa hizi safari ni mojawapo ya deal tu….hamna kingine zaidi ya kuganga njaa…..yalee ya posho….haswa kwa Pinda ….maana huyu PM ameonyesha ana njaa sana…unamwona tu hata kwenye jisura lake (aling’ang’ania sana huyu wabunge wajiongezee posho)…


Inauma….kwani watawala wanashindwa kuelewa kuwa tayari matukio kama haya ya Songea ni moja ya trend kuonyesha kuwa watu wameshachoka na impunity nchi hii….watawala wanashindwa kuelewa kuwa uprisings huwa zinasababishwa na matukio kama haya ambayo wao wanayaona madogo……trigger factors za uprisings zinaweza kuwa nyingi mfano…..migomo ya wafanyakazi,…maandamano ya kudai haki,…kuuliwa kwa raia (kama walivyofanya Songea na Arusha)..etc etc…watawala wa TZ wameshasahau kuwa kilichosababisha uprising iliyoleta mapinduzi kule Tunisia ni kuuliwa kwa raia mmoja tu( machinga)….sembuse hao wanne wa Songea!!!!!!Watawala wa TZ bado wanaamini kuwa mass oppression by police ndio suluhisho la kero za raia……bado watawala ni wagumu kujifunza toka Misri na Libya na sasa Syria….wameshindwa kutambua kuwa raia wakishachoka na impunity hawajali tena mabomu wala risasi!!......iko siku(wala haiko mbali)…nchi hii raia watatoka kudai kilicho chao kwa amani…..siku hiyo ikifika..Songea watatoka barabarani jumla(kama walivyofanya majuzi),…Mbeya nao watatoka,..Iringa watatoka……Musoma nao watatoka…Mwanza watatoka Kigoma nao watatoka….Moshi watatoka ….na Arusha nao watatoka …….woooote hawa iko siku wataamua kutoka jumla barabarani tena kwa pamoja na kwa amani……maana watu wameshaamka kwenye mikoa hii na wanazijua haki zao tayari……alafu tuone kama siku hiyo nchi nzima haitatoka kuwaunga mkono wenzao. Ndugu zangu haya mambo yapo na huwa yanaanzaga na mizaha kama hii hii ya watawala wa TZ. Juzi juzi tu hapa madaktari wamegoma hapa TZ ikawa crisis nchi nzima…..kwasababu ya mizaha ya hawa watawala…I can’t wait for that day lakini TZ kweli imeshatupa kamba kama nchi……..Kenya wao waliamua kuchapana na sasa hivi wanafaidi matunda ya kudai haki zao……….Zambia wao waliwaadhibu watawala wao dhalimu kwa njia ya sanduku la kura………TZ bado hakieleweki……


Ukombozi wa kweli wa Mtanzania utaanza kwa ukombozi wa kifikra kwa raia woote…ukifuatiwa na matendo(actions)….ambayo yaweza kuwa kwa kupitia sanduku la kura au uprisings(nguvu ya umma)….not otherwise…Watu wengi waliojichokea TZ wamekata tamaa na kubaki kuomba lini itafika 2015 ili watoe adhabu kwa watawala kwa njia ya sanduku la kura…Watu wanashindwa hata kufanya kazi kwa bidii TZ ya sasa (haswa serikalini)maana wanaona haiwasaidii kwani wanaonufaika ni wachache……….kwa hali ilivyo sasa kama impunity hii itaendelea…kuna hatari tusifike hata 2015 bila some kind of uprising in TZ……I hope the world(especially the media) will soon bring their attention to TZ as a possibility for a forceful change by mass….especially if they start to focus their media attention to so many unaccounted for happenings in TZ….e.g. police force beating up masses (even killing some),….employees strikes,….undemocratic and corrupt parliamentary elections,…..university students boycotts and their subsequent beatings (by police) and mass evictions from universities,……political assassination attempts(refer the Mwakyembe saga),…..ongoing corruption scandals in the Government and lastly and most painful …the ever growing poverty among majority of Tanzanians in the eyes of very rich and few corrupt individuals and government officials ……..yaani kwa kifupi nchi imekuwa na matukio mengi ya kishenzi na kiubabaishaji kiasi kwamba tumebaki kuongozwa na upepo wa matukio. Haya yooote haya yanaendelea kufanyiwa mzaha na watawala hawa wa TZ……iko siku yatakuwa trigger factors ya ukombozi halisi wa Mtanzania... TZ madini tunayo tele, uranium tunayo tele, makaa ya mawe tunayo tele, gas tunayo tele, kuna siku mafuta nayo tutakuwa nayo tele..achilia mbali mbuga zetu, mito, maziwa na bahari…kwanini tuendelee kufa na umaskini TZ???????kinachotumaliza TZ ni utawala wenye manyang’au na mafisi…TZ bila watawala hawa inawezekana na ndio bora kwa wote ..Tanzanians don’t deceive the status quo at all…

This critical thinking piece comes from observations in the status quo………amka, tafakari, badilika, hoji status quo, kataa impunity…kama mnavyosema kanisani…mkatae shetani na kazi zake zote na mambo yake yoote……Just a matter of time…God Bless!!!!!!


Pata Dondoo za siku hapa chini:

Endelea kuwajua waporaji wa madini yetu ya dhahabu hapa TZ (links chini)…..wakati watanzania wanakufa na umaskini wa kutupwa…..utachoka hapa….hii ndio TZ wasioijua wengi…..

Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining
Tanzania Gold Mining

  • Hizi ndizo kampuni kubwa kuliko za dhahabu duniani
  • Hawana maofisi makubwa TZ (why?????)na wala hawajishughulishi na shughuli zozote za maana za kimaendeleo za kijamii TZ…e.g kujenga miundo mbinu,kufadhili shughuli kama michezo etc etc…..why???
  • Wanamiliki dhahabu zetu kwa asilimia 100% (watawala wetu wala hawana uhakika hawa majamaa wanapata mapato kiasi gani….watajuaje? wakati wamelala!!!!)
  • Wanamiliki masoko makubwa ya hisa za mauzo ya dhahabu duniani(London, New York, Australia, Canada and South Africa stock exchanges…all these are the world biggest bosses in gold stock markets)
 
Hi thread imekaa kichadema chadema

Acha ujinga wako ,thread hii imekaa kizalendo na imeandikwa na mwana ccm asilia anaeipenda nchi yake sio kama wewe mganga njaa unaegopa kumwanbia mfalme kuwa yuko uchi kwa kulinda kitumbua chako!!
 
waisrael wanausemi usemao: ukimpeleka house boy mjinga sokoni, wauza sokoni huchekelea!!!!!!! sisi hapa tulimpeleka waziri chizi kushika wizara ya madini. ona alivyo wachekesha waingereza katika mikataba ya wizi wa madini!!!!!!!!!!!!!!!!!! ona waziri chizi aliyeuza twiga uarabuni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ona waziri aliyenunua Radda!!!!!!!!!!!!!!!!!ona waziri wa madini na nishati katika umemem!!!!!!!!!!!!! ona Richmond!!!!!!!!!!!!!!!!! haw awote hawatofautiani na house boy mjinga unayemtuma sokoni!!!!!!!
 
tofauti na Kenya, tanzania ina mawaziri ambao wamepitia kozi ya kuwa makada wa chama. makada wa cha ni sawa na maktekista wa kidini, ila makada ni maketista wa kuhubiri uongo. Nchi haina maendeleo kwa miaka 50 ya uhuru lakini makada wao hujivunia kuwa eti, tuna siasa safi na uongozi bora kupita Kenya!!!!!!!!!!!!!! makada ni watu, wezi, matapeli, mafisadi, wabunifu wa lugha za wizi na watu wasioaminika. Sasa Tanzania ina watu wa namna hii milion tisa na wote wameandaliwa kuwa wabunge na mawaziri. wewe unategemea nini>? wewe ona wanavyodai allowance zao zipande. wewe angalia wanavyotaka magari ya kifahari ya wizara zao! hupenda sana kuvaa ma unifomu ya kijani na yale ya kirusi ili wananchi wawaone ni watakatifu, lakini ni hatari kupita majambazi sabini wenye siraha!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The only solution ya kuwatoa hawa majambazi madarakani ni kupitia maandamano ya nchi nzima.
Tukiweza kuwatoa hawa majambazi, break ya kwanza ni mitaa ya kisutu, m.aga.bacholi wote lazima waipate flesh.
 
Hi thread imekaa kichadema chadema
Majibu mepesi kwa masuala makubwa (kama viongozi wako tu)...sikushangai kwani hata JK au Pinda au Wassira na wengine nao wangejibu kama wewe...Tatizo lako ni mfumo unamoishi ambamo mmezoea kudanganyana kuwa maisha bora kwa kila mtanzania yatatokana na mtindo wa "business as usual"...mfumo ambamo wezi mnawakumbatia na kuwaita mashujaa na wasio wezi mnawakejeli na hata kutaka kuwaua... TZ haitabadilishwa na watu kama wewe...na wala TZ ya leo haitabadilishwa na itikadi za vyama bali TZ ya leo itabadilishwa na watu waliobadilika kifikra.....haijalishi watatoka chama gani...By the way..hivi unajua ni asilimia ngapi ya watanzania ni wanachama wa vyama vya siasa???...kwa taarifa yako sidhani kama wanazidi 20%...hao watanzania wengine karibia 80% wasio wanachama wa vyama vya siasa unawachukuliaje?????...Go back and think........
 
Back
Top Bottom