Kuna dada humu nimetokea kumpenda vibaya mno

jf 2012 is very promising huh.
ppo ful kudondokeana bado mie dahhh.
ngoja nijipange sawa saw lol.
 
dogo mwambie tu kwani aibu iko wapi, kazana dogo ukizubaa wanawahi wenzako :biggrin:
 
heeee!
Ongea naye kwa kuteta, kumbuka tuko msibani na bendera ya jf iko nusu mlingoti!
 
Swali la msingi umeshawahi kumuona anafananaje au umependa avator yake?
 
Ndugu kuwa muwazi tu ili ujue moja....lkn watu na nyie kwani kasema amempenda kimapenzi??eti yona edison umempenda kimapenzi kwani?
 
domo zege na limegundishwa na super glu nini kaka sema nikupe mistari
 
Mwanaume kujiamin,acha woga,funguka tu umweleze yako ya moyon ujue moja,wanaume hawaogopagi kukataliwa ,wavulana ndio huogopa hilo!

Naunga mkono hoja mwanaume thabiti ni yule;
  1. Anayekuwa na ujasiri wa kujieleza kiufasaha pale anapopenda au kitu chochote kile.
  2. Kutohofia matokeo hasa yakiwa mabaya lakini ni lazima ukadirie ubaya wa matokeo unaweza kuathiri vipi ubongo wako kwa maana ya akili yako katika utendaji kazi wa kila siku.
  3. Mfahamu vizuri sana unataka kutema sema sera
  4. Mwisho katika kutema sera zako epuka sana kumkwaza mwenzako hasa kama hataki kwa kumananisha. Kwa lugha nyingine ni kujifunza jinsi ya kuyapokea matokeo kwa style zote +ve & -ve.
Ni hayo tu.
 
Jamani mwacheni aseme angalau atusahaulishe machungu.
Jamvi limekuwa chungu sana kwa siku mbili zilizopita.
 
Back
Top Bottom