Kuna couple yoyote kama ushuhuda hapa jamvini?

Sisi ndio tupo kwenye mipango ya harusi, mtoto wetu wa kwanza tutamuita MMU, Wa pili chitchat. Jf oyeee!
 
Sisi ndio tupo kwenye mipango ya harusi, mtoto wetu wa kwanza tutamuita MMU, Wa pili chitchat. Jf oyeee!

hongereni,kwani mmepanga kuwa na watoto wangapi?mtoto wa 3 mwiteni jukwaa la wakubwa
 
Na wewe si tulikukataza kutikisa kibiriti? Siku hizi mume mjini hana tofauti na kijiwe cha mpiga kiwi. Porojo mwisho wa siku ofa za gahawa, kashata na sh 200 ya kupiga kiwi!
Utarudi mkoleni wewe mwali, ngoja niongee na aunt mkubwa
Please, usimwambie Anti... MIsikutikisa kibiriti as such
Kuna makosa makubwa alifanya, sikuridhika kabisa
Sasa katika kununa na kusubiri maelezo yeye akapiga kimya
Nikampa ultimatum ya kujieleza, hakurudi tena hadi juzi
Anajifanya alikua shule nchi za nje... ajieleza basi kwanza
Kupotea ni kosa la kwanza, but kosa la mwanzo lipo pale pale


Unaniangusha bhana,atakuwa aliona humjali ulipomwambia
"viishe",kwani ina maana mpaka sasa huna hata chembe za love juu yake?
think twice bhana unaniangusha
Kua na chembe ya love au la, sio the most important
The most important ni kujua kama naweza endelea
Kwa hali ilivyo na leel of trust ilio baki naona it's hard
Mbaya zaidi he doesn't even try to restore the trust.
 
Back
Top Bottom