Kuna couple yoyote kama ushuhuda hapa jamvini?

Aah wapi. Basi tu sijakuamualia kaka.
Maisha ya ndoa ni full burdani, yaani twakata mti twapanda miti. Wewe jilipue tu acha kudesa, utachemsha! Ohooo! Kabakabana kaenda wapi siku hizi?

hehehe kama ni burudani hivo aisee heri nijiunge soon,Kbkna sijui yuko wapi bhana hata hajanianga
 
Pole sana Mwali,si unajua tena
mapenzi hayatabiri,ila mgevumiliana tu
mana mlipofikia ni hatua nzuri,endelea bhana kumpa
somo mpaka mrudiane,yaani mnakubali kugive up ?
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidii
baada ya mimi kumwambia viishe jamaa akafurahiii
As if alikua anasubiri nimwambie hivo ili aondoke
We usimuonee huruma bwana, acha achape lapa.
 
Vipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.[/QUOTE]

...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.

Mkuu ila hapa JF ishawahi kutokea wakafunga pingu za maisha?nadhani kama imetokea basi wamefanya kwa siri sana
 
Na wewe si tulikukataza kutikisa kibiriti? Siku hizi mume mjini hana tofauti na kijiwe cha mpiga kiwi. Porojo mwisho wa siku ofa za gahawa, kashata na sh 200 ya kupiga kiwi!
Utarudi mkoleni wewe mwali, ngoja niongee na aunt mkubwa
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidii
baada ya mimi kumwambia viishe jamaa akafurahiii
As if alikua anasubiri nimwambie hivo ili aondoke
We usimuonee huruma bwana, acha achape lapa.
 
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidii
baada ya mimi kumwambia viishe jamaa akafurahiii
As if alikua anasubiri nimwambie hivo ili aondoke
We usimuonee huruma bwana, acha achape lapa.

Unaniangusha bhana,atakuwa aliona humjali ulipomwambia
"viishe",kwani ina maana mpaka sasa huna hata chembe za love juu yake?
think twice bhana unaniangusha
 
Kama Kk alikuponyoka na alifunguka mwenyewe, taasisi ya ndoa ungeisubirisha kwanza. Muone Aspirin akupe ushauri nasaha, afu ukamalizie kwa babu dc. Hapa ni kushikamana kaka!
hehehe kama ni burudani hivo aisee heri nijiunge soon,Kbkna sijui yuko wapi bhana hata hajanianga
 
Kama Kk alikuponyoka na alifunguka mwenyewe, taasisi ya ndoa ungeisubirisha kwanza. Muone Aspirin akupe ushauri nasaha, afu ukamalizie kwa babu dc. Hapa ni kushikamana kaka!

Haya mahusiano we yaache tu bhana ameniacha bila hata kudai talaka,siku hizi watu wamerahisisha mno,unazingua unakimbiwa bila taarifa
 
Tuwezane mara ya ngapi? Akinipiga ban jf mie namuwahi na ban ya bedroom. Tuone nani bingwa. Chezeiya, ukimwaga mboga namwaga ugali na maji ya kunawa nazimia moto!

kuna watu humu ndani mnanifanya nisahau hata machungu ya kulala wodini.
 
Mkuu ila hapa JF ishawahi kutokea wakafunga pingu za maisha?nadhani kama imetokea basi wamefanya kwa siri sana

....Hilo sina hakika nalo lakini wanaweza kabisa kuamua kuminya badala ya kurudi hapa na kuanza kujitangaza kwamba tulikutana JF tukawa wapenzi na tumeshafunga pingu za maisha, labda siku za usoni wengi watajitokeza hadharani.
 
siku za usoni inaweza kutokea kabisa maana humu kuna couple za kutosha
 
Kumbe ulizingua mwenyewe? Tatizo lako unajiona handsome. Shauri yako, ongea na wazee. Si unajua nyani mzee amekwepa mishale ya kutosha? Pole weeh
Haya mahusiano we yaache tu bhana ameniacha bila hata kudai talaka,siku hizi watu wamerahisisha mno,unazingua unakimbiwa bila taarifa
 
Haya mahusiano we yaache tu bhana ameniacha bila hata kudai talaka,siku hizi watu wamerahisisha mno,unazingua unakimbiwa bila taarifa

Pole sku izi hata wanawake wanatuhadaa kimapenzi na kutuharibia uvulana wetu vijana
 
Kumbe ulizingua mwenyewe? Tatizo lako unajiona handsome. Shauri yako, ongea na wazee. Si unajua nyani mzee amekwepa mishale ya kutosha? Pole weeh

Ee bhana tatizo sikujaliwa maneno matamu,halafu nina sura chachu,hajawahi kuona nacheka,we unadhani
ingetokea nini,King'asti think twice bhana ingekuwa wewe sijui ingekwaje
 
Pole sku izi hata wanawake wanatuhadaa kimapenzi na kutuharibia uvulana wetu vijana

Ee bhana kweli kabisa,tumezoea kuwatenda wanawake ila siku hizi wao ndo wanatutenda....kudadadadeki
 
Mpaka sasa nimepigwa vibuti sita na sijakata tamaa. Nitatoa ushuhuda soon. Kaeni mkao wa kuchangia halusi
 
Back
Top Bottom