Kuna couple yoyote kama ushuhuda hapa jamvini?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Habari za weekend wanajamvi,natumai mnafurahia weekend!

Nina swali dogo tu,

Je kuna watu waliofahamiana hapa JF hasa MMU na baadaye wakawa wapenzi
na kufikia malengo yao ya ndoa?
Nadhani kama ulifanikiwa itatia moyo watu wengine wanaochipukia,kama utakuwa huru kusema
kuwa mlianza mahusiano hapa MMU na mkafanikiwa,au kuna ambao unafahamu
walianza mahusiano yao humu na wakafanikiwa?
Siyo lazima but nataka tu kufahamu kama kuna ushuhuda wa namna hii.

Ahsanteni
 
kuna mmoja alikuwa a-nasikitikaaa, nadhani juzi kati hapa kashusha uzi kwamba kalamba bingoo ya engineer fulani... mtafute akupe the low-down....
 
Mimi na Paw. Lakini kwa sababu za kiintelijensia hatuwezi kutoa details. Vipi, unataka kufanza kweli?
 
kuna mmoja alikuwa a-nasikitikaaa, nadhani juzi kati hapa kashusha uzi kwamba kalamba bingoo ya engineer fulani... mtafute akupe the low-down....

dah hiyo itakuwa habari nje kama ni kweli
 
Mimi na Paw. Lakini kwa sababu za kiintelijensia hatuwezi kutoa details. Vipi, unataka kufanza kweli?

We na Paw mtawezana?mkigombana ye anakimbilia JF kukupiga ban,aah mi nipo nipo kwanza bhana
 
Vipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuwezane mara ya ngapi? Akinipiga ban jf mie namuwahi na ban ya bedroom. Tuone nani bingwa. Chezeiya, ukimwaga mboga namwaga ugali na maji ya kunawa nazimia moto!

Hiyo ni kweli mkuu but nimeuliza tu kwasababu sijawahi kusikia mtu yeyote hapa jamvini akizungumiza kwamba walianzia huku huku jamvini
 
Tuwezane mara ya ngapi? Akinipiga ban jf mie namuwahi na ban ya bedroom. Tuone nani bingwa. Chezeiya, ukimwaga mboga namwaga ugali na maji ya kunawa nazimia moto!

kwani mna mda gani tangu mlipoanza mahusiano,teh teh
 
Ulijuaje? Na usiombe nikakutega. Utajuuuta!
Ila na yeye alitumia mwanya huo kunioa. So ngoma draw!

Nitafahamu kama unanitega,kwahiyo ni ngumu kumtega mtu
ambaye anafahamu unamtega.
Kama ngoma draw hapo umempatia,je maisha ya ndoa yakoje?
 
Aah wapi. Basi tu sijakuamualia kaka.
Maisha ya ndoa ni full burdani, yaani twakata mti twapanda miti. Wewe jilipue tu acha kudesa, utachemsha! Ohooo! Kabakabana kaenda wapi siku hizi?
Nitafahamu kama unanitega,kwahiyo ni ngumu kumtega mtu
ambaye anafahamu unamtega.
Kama ngoma draw hapo umempatia,je maisha ya ndoa yakoje?
 
Mimi nilikutana na Saint Ivuga humu humu,
Tukafikia level ya yeye kutoa mahari kabisa
Ila kuna mambo yalitokea hapa kati kati
Kwa sasa tumeachana (but tunaoneana wivu)
 
Last edited by a moderator:
Vipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.[/QUOTE]

...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.

Mimi nilikutana na Saint Ivuga humu humu,
Tukafikia level ya yeye kutoa mahari kabisa
Ila kuna mambo yalitokea hapa kati kati
Kwa sasa tumeachana (but tunaoneana wivu)
Pole sana Mwali,si unajua tena
mapenzi hayatabiri,ila mgevumiliana tu
mana mlipofikia ni hatua nzuri,endelea bhana kumpa
somo mpaka mrudiane,yaani mnakubali kugive up ?
 
Last edited by a moderator:
Toa ushuhuda basi jamani. Tumu-encourage kijana ajiopolee humu.
Ajabu hujapata kawimbo kakusindikizia hii,lol
...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.

Back
Top Bottom