Salam wadau
nilitaka kuuliza kama kuna chuocha elimu ya juu chochote humu (zaidi ya 50 kwa sasa 2012) nchini Tz chenye hadhi ya kuitwa CHUO KIKUU? maana nimezungukia MLIMANI, ARDHI, MUHIMBILI, MUSLIM, UDOM ,TUMAINI zote, SAUT, TEKU, ST. JOSEPH nilichoshuhudia ni majengo chakavu chakavu na walimu wapiga miayo tu wakisubiria kama kuna "dili" mtaani wasepe. zaidi ni katika MAKTABA sijaona kitu ukija kwenye INNOVATIONS ndo sifuri (sidhani hata kama tumeshawahi kutoka NOMINATIONS hata moja kwenye NOBEL PEACE PRIZE). Tujipeni pole watanzania