kuna Bits na Bytes ngapi hapa?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wanajukwaa, naombeni msaada. Katika sentensi hii, kuna bits na bytes ngapi? "THIS IS JAMIIFORUMS" Nimeuliza hivi kwa kuwa nashindwa kuelewa iwapo space inahesabika kama nayo ni character.
 
ili iwepo 'T' kwa mfano panapaswa kuwa na biti 8, ndio kusema kila biti 8 zinaunda baiti 1. Kwa hiyo character yeyote moja ina baiti 1 (inahusisha characters, letters, numbers, n.k.)

Kwa hiyo 'THIS IS JAMIIFORUMS' ina baiti zianazolingana na idadi ya characters iliyonazo (pamoja na space)
 
Alfanumeriko karakitazi za komputa siku hizi ziko kwenye code ya ASIKI (ASCII). Kila character moja inakuwa represented na baiti moja bila kusahau space na quotation marks ambazo umeziweka kwenye swali lako nazo ziko kwenye code hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom