Elections 2010 Kuna ajenda gani kwenye tabasamu la Lipumba?

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Lipumba amebwagwa kwenye uchaguzi. Pamoja na kubwagwa yeye hakuonyesha uso wa mtu aliyeshindwa bali ni kama mtu aliyepata ushindi. Hili lilijidhihirisha wakati anatoa neno kama mshindwa hapo jana. Je nyuma ya tabasamu la Lipumba kuna ajenda gani?
 
Anafurahia kuongezeka kwa Ruzuku ktk CUF, Kushare utawala wa zanzibar yeye kama chairman wa CUF, pia kwa sababu ya udini wake na Jk labda anaweza kumkumbuka katika enzi yake!!
 
Hana chochote udini umewajaa usoni.Wanaudhi hawa jamaa.
 
Ustaadh unikumbe kama ulivyomkumbuka mwenzangu kule Zanzibar.
 
Anafurahi kuwa amepata kura ambazo hakutegemea kwa sababu hakuwa mshindani wa kweli. Ndiyo maana katika kampeni alikuwa akipita masokoni na kwenye misiba.
 
Unajua wa2 ni wapuuzi kuna udini gani kama sio we mwehu usie na akili hata nusu kijiko. Rudi unyagoni ukafundishwe nchi ye2 haina udini we ndo unahuo udini. Huoni haya na huo mdomo mchafu acha kuropoka na kubwabwaja maneno.
 
Back
Top Bottom