Kuna aina ngapi za vipimo vya hiv?

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&2 in human serum

technique- 1 sd bioline

2 HIV 1 AND 2 DERERMINE(ABBOT IMMUNOCHROMATOGRAPHY

3 UNIGOLD

4 ELISA

RESULT NEGATIVE

SWALI MBONA MAJIBU YA KINA SITA YAPO TOFAUTI?

Unatutangazia huna ngoma bebii?????
Hongera kwa vipimo "vya awali" kuonesha huna maambukizi.
Kuna aina kuu mbili za vipimo vya HIV/AIDS. Aina ya kwanza ni hiyo Antibody test ambazo huangalia chembe chembe za mwili zinazotengenezwa ili kupambana na vijidudu (antibodies). Hizi mara nyingi sio conclussive, japo ndo kipimo kikuu hapa kwetu. Sio conclussive kwa kuwa kinapima only antibodies ambazo zinachukua muda kutengenezwa na mwili. Kwa hiyo kama umepata maambukizi ndani ya wiki mbili say, hakiwezi ku-detect any antibodies. Pia huwa hakiko 100% specific., japo kiko sensitive kiasi, ila hii ndi sababu mtu hufanyiwa zaidi ya test moja kama hapo juu ulivyofanyiwa. Hizi Antibody tests ziko za aina mbali mbali. Kuna rapid test, yaani ambayo unatumia tone moja tu la damu, na unaweka kwa kiji-test unapata majibu in 5minutes, hizi huitwa rapid tests (zipo SD. Bioline, determine, unigold na kadhalika), pia kuna ELISA, ambayo nayo ni antibody test. Hii hufanyika maabara maana inahitaji titration na huchukua muda zaidi. Aina nyingine kuu kati ya mbili nilizonitaja juu ni ya DNA ama RNA particle ya virus mwenyewe. Hii hutumia PCR nahuhitaji maabara kubwa zaidi. PCR-DNA ama RNA ndo superior test zaidi ya hizo za antibodies, hii huweza ku-detect HIV kwa haraka, uhakika, na haikosei kosei kama Antibody tests. Ni gharama, na hutumika kwa sababu maalum pekee. Sababu hizo ni kama, neonatal HIV tests, kuhakikisha mtu ana immediate infections in case of rape etc. Sio kawaida kufanya kipimo hiko hapa kwetu kwa sababu za gharama.

Having said that, nakupongeza kwa ushujaa wa kwenda kupima, na naamini utarudi tena kupima baada ya miezi mitatu kama ulivyoshauriwa (naamini ulishauriwa hivyo). Mean while jitahidi kuzuia maambukizi mapya, zingatia mwenendo bora, na tumia kinga katika tendo la ndoa.

stun

nashukuru sana kweli ni ushujaa na yalikuwa maamuzi mazito sana kwangu ila namshukuru mungu wala hamna mtu nimesex nae karibuni so hata nikipima tena majibu yatakuwa hvhvo mana nimepima sehemu 2 tofauti

Hongera kwa kupima ngoma.
Ni matumaini yangu kuwa huo utakuwa mwisho wako wa kuchakachuliwa.

Sikujua kama wewe ndio sintahahaha umenisoma?
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&2 in human serum
technique- 1 sd bioline
2 HIV 1 AND 2 DERERMINE(ABBOT IMMUNOCHROMATOGRAPHY
3 UNIGOLD
4 ELISA

RESULT NEGATIVE

SWALI MBONA MAJIBU YA KINA SITA YAPO TOFAUTI?
IMG_3565.JPG

Khaaaaaa! muumini hatakiwi kutilia shaka imani ya muumini mwenzie (source: shehe kigwagula)
ujue kidonge hiv test inatisha bwana dah yaani baada ya kutoa damu nilitamani niingie uko maabara nikaimwage kusema kweli nilifurai sana kupata majibu yangu sasa hv mtu akitaka no yangu tu angaza kwanza loh?

hehehe mimi kuna siku nilikwenda kwa hiyari yangu, dah! nilipofika wakati nipo queue Dr alipokuja kuniuliza enhee nini tatizo nikamwambia namsubiria jamaa tu skuwa na tatizo lolote, ile dr kunipa mgongo tu nikatoka baruti skurudi tena.

ahahaaa ni soo mtu asikuambie kidogo nife aisee yaani hofu ni mbaya sana

Back
Top Bottom