Kumwambia mpenzi wako nakupenda kila unapoongea nae kupitia simu or hata mkionana ni vibaya?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
watu wengi wanasema hasa jinsia ya kike,eti kumwambia mpz wako nakupenda kwa kila wakati ni vibaya kwasabu eti unampa kichwa na kujionesha kuwa unampenda sana.je ipo sawa?
 
kama unafeel kumwambia mpenzi wako hivyo,usifiche hisia zako endelea kumwambia,be yourself.
 
Hata tatizo siyo kumwambia au kutomwambia! Issue hilo neno nakupenda linatoka moyoni au akilini? Coz watu wengi sasa wanatumia akili kupenda badala ya moyo. Wanasema nakupenda coz mpenz wake anapenda kusikia hivyo, basi wewe unamimina nakupenda nyingiii! Kwangu hazina maana hizo za kutoka akilini, na wale wanaowalazimisha wapenzi wao wawaambie NAKUPENDA wajue wanalazimisha hizo Nakupenda!
 
Kiasili,Mwanaume ukimwambia mwanamke hivyo mara nyingi anakuona haufai coz hiyo kwake ni ishara ya wewe kutokukamilika uanaume wako,hili linataeleweka kwa maelezo marefu ila kwa kifupi ni hivyo,unapomwambia hivyo mwanamke kuna taarifa inapelekwa kwenye mawazo yake ya kina kuwa huyo sio mwanaume kamili bila mwanamke mwenyewe kujua,anajistukia hakuhitaji na mtaachana tu!
 
watu wengi wanasema hasa jinsia ya kike,eti kumwambia mpz wako nakupenda kwa kila wakati ni vibaya kwasabu eti unampa kichwa na kujionesha kuwa unampenda sana.je ipo sawa?
Kumwambia sio vibaya sababu watu hupenda kukumbushwa na kusifiwa hata kama wanajua unawadanganya..., ila actions speaks louder, huwezi ukawa unampa kichapo kila siku na kumdharau na kumdhalilisha alafu unasema nakupenda (huenda hilo neno likaloose meaning likawa kama kejeli)
 
Hilo nalo neno!

Hope u mzima rafiki!
Stay blessed.
 
Kila saa
Kila dakika ni
uzushi tu huo...

kama unapenda na ye anapenda
na ndio mazoea yenu wala hata usiulize...
maana jibu unalo...
 
nakupenda,nakupenda,nakupenda,nakupenda,......kama ndio hii maana yako basi inaboa,..ila kama nakupenda ya kumaanisha nafikiri ni sawa.
 
Kila saa
Kila dakika ni
uzushi tu huo......

Mbona neno nakupenda lilisha loose meening zamani

Wakuu inategemea ni nani analisema kama ni mtu unayempenda basi halitaloose meaning na litakuwa "MUSIC" to your ears..

Tatizo ni kwamba watu wakishakuwa pamoja wana-take each other for granted.., yaani wanaona ni haki yao kupendwa..., mbona watu huwa hawalaumu wakati mapenzi yanapoanza na yapo bado moto moto...,

Ni kama Muziki unapokuwa wa zamani na baada ya kuusikiliza sana unapoanza kukuboa na kuchuja tatizo sio kwamba wimbo umekuwa mbaya bali ni kwamba msikilizaji ameanza kuuchoka
 
Kumwambia mtu unampenda ni aina fulani ya kumpata assurance...ambayo katika mazingira ya kwetu itakuwa na maana zaidi kama wahusika wataifanya kwa vitendo zaidi na si maneno. Yes you can say it now and then lakini ikiwa frequent sana moja ni kwamba kuna kuwa na kitu hakiko sawa kwa upande husika...unajua binadamu tumeumbwa na senses unaweza kujua kua mwenzako ana mashaka nawe au la.

So issue is you don't have to say it over and over again lest it become monotonous. Show him or her that you love him!

Watu wamekuwa wakitumia hayo maneno in abusive way... mtu ametoka kufanya umalaya wake huko spidi honey ilove you you know what...blah blah etc
 
Mara nyingi nakupenda nyingi huwa ni unafiki, ikiwa unampenda mtu ataona 2 na siyo umwambie kila mara. Kwa kifupi inachusha akili, mshoro wa nakupenda haufai kwani umejaa unafiki na kutojiamini.
 
Wakuu inategemea ni nani analisema kama ni mtu unayempenda basi halitaloose meaning na litakuwa "MUSIC" to your ears..

Tatizo ni kwamba watu wakishakuwa pamoja wana-take each other for granted.., yaani wanaona ni haki yao kupendwa..., mbona watu huwa hawalaumu wakati mapenzi yanapoanza na yapo bado moto moto...,

Ni kama Muziki unapokuwa wa zamani na baada ya kuusikiliza sana unapoanza kukuboa na kuchuja tatizo sio kwamba wimbo umekuwa mbaya bali ni kwamba msikilizaji ameanza kuuchoka

Naona ume copy sehemu ya juu tuu ya poster yangu..

Na kam umesoma sehemu ya chini utanielewa...
 
watu wengi wanasema hasa jinsia ya kike,eti kumwambia mpz wako nakupenda kwa kila wakati ni vibaya kwasabu eti unampa kichwa na kujionesha kuwa unampenda sana.je ipo sawa?
Kutenda haki ni pamoja na kutoa stahili husika za mlengwa, Nakushauri kumpa sifa mpenz wako pale inapobidi. All the best mkubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom