ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,460
wewe ndo kilaza zaidi na zaiditena zombizombi kama waliweza kulipa makampuni feki shilingi 152,000,000
kwa siku ni shilingi ngapi kwa mwezi? kwanini watoto wasisome bure? wewe huna tofauti na hao mafisadi umeishiwa mawazo na hujui unaongea nin. bora ukaae kimya ninyi ndo mmezoea kusema tanzania ni masikini wakati tanzania ni taifa lenye neema na baraka tele ila mafisadi ndo wanafaidi.:grouphug:
Kaka usibishane na huyu mtu, hawa ndiyo wasaliti na wanafiki wakubwa - kwenye msafara wowote mijitu mibishi kama hii huwa haikosekani. Hakumbuki kipindi cha uongozi wa mwalimu elimu ilikuwa bure na bora toka msingi mpaka chuo kikuu tena wakati huo kulikuwa hakuna uwekezaji kama ilivyo sasa, huyu jamaa anaelewa kila kitu lakini kaamua kubisha bila sababu za msingi.
Hawa hawa viongozi wanasaidia kufilisi nchi wamesoma kipindi hicho hicho cha mwalimu, leo hii wamesahau yote mema waliotendewa katika taifa hili nasema hii ni dhambi na itawatafuna mmoja baada ya mwingine, malipo ni hapa hapa duniani.