Kumtendea haki punda!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Tambola na mokili, yomona makambo (tembea duniani uone mambo) - Johnny Bokelo

Punda amepata lifti. Kudaadadeki!

punda.jpg
 
hamna bwana mzee amekua considerate kidogo..! ndio maana amempakiza buwana..!
 
Imependeza baba,
Nao ni viumbe inapaswa kuwafanyia uadilifu mara moja moja.
 
Kama punda amekusaidia kufanya kazi kubwa si vibaya ukampa nafasi ya kupumzika kwani naye ni kiumbe hai
 
la hasha, Binadamu huyu huyu ninaemjua mimi?? Punda huyu atakuwa anaumwa hapa anapelekwa Veternary ili apone aje apige mzigo wa nguvu.
 
Back
Top Bottom