Kumsusa Kikwete, CHADEMA wamevuna mahindi au Mabua?

Nilikuambia asiyekosea ni Mungu tu, ila wewe hata hukuomba msamaha.

Sasa hii WANAKUSHAMBILIA ndiyo nini? Au ndiyo matatizo ya kukaa sana SHAMBA?

Usiwe unawacheka wenzako wakati hujavuka mto bado................
Wameshaanza kunijadili na kunishambilia binafsi mimi huko juu. Hawana hoja wao ni vita tu. Looh, nimewastukia.
 
Haya, na ukiwa kwenye gari, pia watumia Samsung kwa kuongea au HTC? Maana naona uko juu sana. Nashindwa tu kuelewa, mkoba wako na kiatu, itakuwa mwendo wa GUCCI tu........

Ila next time, ukitaka kutamba una TV ya bei mbaya, marufuku kutaja jina la SAMSUNG au SONY sijui.

Sema umenunua BANG & OLUFSEN na wale wote wanaojua ni nini, watainamisha kichwa chini kukusujudu. Wasiojua, basi watakuwa wanajiuliza, hivi amesema jina gani vile? Bang & ........

Hii hapa kitu kwa ajili ya Mafisadi wa kweli na si Mafisadi Uchwara wanaoambulia mabaki.........
6a00d8341c630a53ef01538e7696d8970b-600wi

Bang & Olufsen's 85-inch 3-D TV sells for $85,000 - latimes.com

Umekosea ni Samsung LN52 full HD. Touch Screen. Na nikiwa huko nje chini ya Mwembe, situmii Laptop, zigo lote lanini? natumia ki Ipad 2 64gb, kwa raha zangu.
 
Haya, na ukiwa kwenye gari, pia watumia Samsung kwa kuongea au HTC? Maana naona uko juu sana. Nashindwa tu kuelewa, mkoba wako na kiatu, itakuwa mwendo wa GUCCI tu........

Ila next time, ukitaka kutamba una TV ya bei mbaya, marufuku kutaja jina la SAMSUNG au SONY sijui.

Sema umenunua BANG & OLUFSEN na wale wote wanaojua ni nini, watainamisha kichwa chini kukusujudu. Wasiojua, basi watakuwa wanajiuliza, hivi amesema jina gani vile? Bang & ........

Hii hapa kitu kwa ajili ya Mafisadi wa kweli na si Mafisadi Uchwara wanaoambulia mabaki.........
6a00d8341c630a53ef01538e7696d8970b-600wi

Bang & Olufsen's 85-inch 3-D TV sells for $85,000 - latimes.com
That is whats so called ellegancy...

Neways nilmwambia abaki kwenye hoja hakutaka.lol

Hii hapa same...
BO_BeoVision10_4.jpg
 
CDM wanakaa meza ya majadiliano na J.K kwa sababu ya misuso, maandamano, elimu inayotolewa na CDM(wabunge,viongozi) kuhusu mwenendo wa taifa kisiasa na kiuchumi

NCCR na CUF wanakaa meza moja ya majadiliano na J.K kwa sababu ya Chadema

Hutaki basi acha
 
Hizo nishatumia sana, life span yake ni kubwa sana na technology inakwenda speed kuliko kiasi, inakuwa hailipi kwani mimi hupenda kubadili kila mwaka.
Unatumia zenye mi connection na miwaya kibao?lolUnaweza ukawa simple, elegancy is what matters ama unaonaje?
Home-Theater-Setup-Guide-Mounting-a-Flat-Panel-TV.jpg
 
Punguza kutokwa povu, kunakufanya hata kuandika ukosee. Mambo mazuri hayataki haraka.

Ungeipitia hii mada vizuri na bila kuwa "intoxicated" kila unapoliona jina tu la FF usingebwabwaja yote hayo. Alioanzisha kuhusu kanisa ungepitia hizi post kwa umakini, ungemjuwa ni nani. Au umekasirika FF kusema kuwa CHADEMA inaonesha seminar za kile chama cha siasa cha kikristo, CDU< zimewasaidia? sasa hapo kuna kosa lipi linalokukasirisha?

Ungepitia ungeikuta na post ya Slaa, usingelalama hovyo. Huna zaidi ya kutoka nje ya mada, soma kichwa cha habari, mleta mada anaulizia kwa kususa mmevuna mahindi au mabua. FF achana nae kabisa, huwezi. Pata hili darsa kidogo kuhusu mtandao na namna ya ku "disagree" litakusaidia sana wewe na wenzako kama wewe:

paulgraham_2194_3912853

March 2008

The web is turning writing into a conversation. Twenty years ago, writers wrote and readers read. The web lets readers respond, and increasingly they do—in comment threads, on forums, and in their own blog posts.

Many who respond to something disagree with it. That's to be expected. Agreeing tends to motivate people less than disagreeing. And when you agree there's less to say. You could expand on something the author said, but he has probably already explored the most interesting implications. When you disagree you're entering territory he may not have explored.

The result is there's a lot more disagreeing going on, especially measured by the word. That doesn't mean people are getting angrier. The structural change in the way we communicate is enough to account for it. But though it's not anger that's driving the increase in disagreement, there's a danger that the increase in disagreement will make people angrier. Particularly online, where it's easy to say things you'd never say face to face.

If we're all going to be disagreeing more, we should be careful to do it well.
What does it mean to disagree well? Most readers can tell the difference between mere name-calling and a carefully reasoned refutation, but I think it would help to put names on the intermediate stages. So here's an attempt at a disagreement hierarchy:

DH0. Name-calling.

This is the lowest form of disagreement, and probably also the most common. We've all seen comments like this:
u r a fag!!!!!!!!!!​
But it's important to realize that more articulate name-calling has just as little weight. A comment like
The author is a self-important dilettante.​
is really nothing more than a pretentious version of "u r a fag."

Soma zaidi hapa kwa faida yako:
http://www.paulgraham.com/disagree.html

Hakuna point hata kidogo wenye kuhitaji link ya aina hiyo ni wewe na watu kama wewe mnaofikiria umbali wa pua zenu. Maana unakuja na porojo na chuki. Ndio maana unakuja na hydra headed opinions wakati kinachohitajika ni fact findings guided by reliability and validity. Kama wewe sio religious biased basi wewe ni victim of probability maana unapenda kuja na maoni finyu, kejeli na chuki kwa mambo nyeti basi huku lugha yako imesheheni uswahili. Language employed by you is purely unethical. Unahitaji communication skills otherwise kila anayekwambia usichopenda kusikia unaona ni mbaya.

I have never in life been scared to disagree with anybody because I am moulded on objectivity and always view things on the wide spectrum. Sasa your arguments are lacking fact findings. They too orthodox. Kuna majina yanayotisha si lako kama kuna mtu anakudanganya basi. Labda niseme always approach yako lnachefua na hoja zako hazina kitu ambacho mtu sensible anaweza kujifunza. Ndio maana pamoja na udhaifu wako bado unapewa ushauri wa bure don't pullute logical topics by jabbering with words.

Kuwa na attitude ya wanawake sina maana ujiweke chini lakini uwe na lugha ya staha hata kama unalipwa kuwa na kiasi. Unaweza kueleweka kwenye argument zako hata kama hujatumia street language. Lakini ukiendelea hivyo kama ambavyo hutaki kujirudi watu wataanza kuona kichechefu hata linapotokeza jina lako kama ambavyo ushaanza kujishuku.
 
Elimu inayotolewa na CDU.

Wenzenu CUF walianza maandamano na kususa kabla yenu, walipoacha sasa viongozi wa nchi si wa chama pekee. Igeni mfano wao, mnaweza kuonewa huruma.

J.K awasaliti wabunge wa CCM ikulu kuhusu mchakato wa Katiba Mpya

nalo hutaki?, J.K kataka, wabunge wa CCM hawakutaka!
 
Labda anataka kuhamia CHADEMA ?

labda anataka kuonekana bora kuliko wenzake

labda anajikosha tuu, watanzania wamkumbuke nalo

labda anatafuta pa kuhemea baada ya umeme juu, mgomo wa madaktari

labda hajui analolifanya, kama alivyoanzisha kujivua gamba kunakomshinda
 
Porojo za kufikirika, wenzako wameomba kuonana na Rais Ikulu. Inashangaza wewe unapingana na viongozi wako wa chama, huwaamini?

Kwa Taarifa yako Mkwer.e ndo katengeneza mazingira ya wao kwenda huko kama ulikuwa hujui, inashangaza kuona hata Mkwe.re mwenyewe ameshajua mambo hayaendi vyema ndani ya chama na serikali lakin watu kama nyie ndo kwaaanza aliyewapofusha/kuwaroga kafa sijui, naahid nta deal na watu kama wewe hapa kwa kutoa somo hadi muwe katika mstari kama CDM wanavyomrudisha mstarini Mkwe.re.
 
Nimeangalia sana hii picha iliyopigwa ikulu....kila ninavyojitahidi kuiangalia tena na tena, nashindwa kuelewa facial expression za watu wawili ambao ni muhimu sana katika hii encounter......Wasira na Nchimbi, sura zao zina ujumbe mzito!!
 
Miaka ya 80 nikiwa ndani ya daladala, kijana mmoja alikuwa akisikia furaha sana kama mpiga debe. Alikuwa akiamrisha dereva kuondoka na yeye anakimbilia hiyo daladala na kurukia. Watu hawakumkopesha na wakampa live yule dogo.

Dogo akawajibu "Mnajua nyie, huyu owner wa hii daladala, ana mengine kama matano hivi........."

Watu wakamwambia "Hata kama akiwa nayo 50, hiyo ni mali yake. Sisi tunajali maisha yako na afya yako."

Dogo akakaa kimya na akaacha kujifanya Nyani kwa kuning'inia ovyo mlangoni.

Sasa hizo Asilimia za World bank na maisha ya huyo Mjomba wangu wa Igunga au huyu bibi hapa Sikonge, wapi na wapi?

full.jpg

WB: Tanzania's 6.4pc growth among the fastest in Africa

WB = World Bank

Source: WB: Tanzania
 
Jakaya Mrisho Kikwete is the President of the United Republic Tanzania, Executive Head of the government and Commander in chief of the Armed Forces. He is also the Chairman of the ruling party CCM which enjoys majority of over 75% of MPs in the current Parliament. Jakaya Mrisho Kikwete appoints all ministerial chiefs, appoints all Regional & Area chiefs, appoints all judiciary chiefs including the CJ, appoints military, police, prison & intelligence chiefs and appoints all parastatal chiefs. As Chairman he also appoints all party top chiefs...

But now out of nowhere(?) and in spite of all the power he wields, Raisi ni mimi has to turn to that insignificant group, ambao kelele zao hazikuweza kumnyima usingizi, for help! Suddenly he can no longer go to sleep for the bed he once slept on so soundly, amidst the cries and groaning of his people, now feels like a bed of nails on his delicate skin. It is as if he was slowly waking up only to realize that the unending nightmares he was having before were just like warning signs of the filth he had sunk into and was now suffocating him.

Jakaya Mrisho Kikwete is grasping for straws for he knows he is slowly but surely drowning and no help is in sight from those around him as they are all in the same boat. As he struggles for breath, he catches sight of something and suddenly his eyes light up as he sees what magwandas are holding in their hands, a rope! A rope? What does not immediately sink into his head is that a rope has many uses and we all know why a drowning man would need a rope but what about the ones holding the rope? Je Chadema wamevuna mahindi au mabua ?
 
Ha ha ha, hata hii kukutana mmeomba wenyewe kuonana mnataka kubadilisha kama vile JK ameshindwa?

Kweli mnaangalia mambo kwa macho ya kujisifia ...lol

Chadema walisusa, walisema hawamtambui, hatimaye wao wenyewe wameomba kuonana naye na wakamtambua rasmi..

Chadema wamekula matapishi yao wenyewe; hayo ndio mavuno yao.
 
Kitu kinachozidi kujidhihirisha ni kuwa kishindo/mwangwi/mtetemo wa ile hatua ya Chadema kutoka nje, ni mkubwa mno kuliko maelezo! Unaweza kuuona dhahiri uchungu wake kwa watu wa ccm wote iwe ktk maandishi au nyusoni mwao wanapoongea. Bahati mbaya kwao ni kuwa haitafutika! Ilitokea mbele ya macho ya Ulimwengu wote, sababu za tendo lile zinajulikana hata kwa watoto wadogo, hata ccm wazichakachue vipi zipo wazi. Suala la kujiuliza.... kama wapambe inawauma hivyo mwizi mwenyewe inamuuma kiasi gani???
 
Halafu nini kilichowafanya kuomba na kuandika barua kuomba kuonana na rais? baada ya kususa? mmekula matapishi yenu au nia kususa ilikuwa kuonana na JK?? is that your initial objectives?
 
Back
Top Bottom