Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
- Thread starter
- #61
Naona hata FF kashindwa kuvumilia na kukusahihisha hapo juu. Je una uhakika kuwa safari hii, ni Chadema wameomba wamuone Rais au ni Rais kaomba akutane na vyamba vya upinzani? Maana naona na NCCR nao walikuwa kwa Rais.
Siku nyingine USIKURUPUKE. Ona sasa umevamia mlango wa kushoto.
Siku nyingine USIKURUPUKE. Ona sasa umevamia mlango wa kushoto.
Ningekubaliana nawe ingekuwa Kikwete alisubiri kutia saini sheria kabla ya kukutana na CHADEMA lakini kwa hali ilivyo ni wazi kuwa CDM waliona hawatopata kitu kuendelea kususa na wao lazima wajitie kwenye Behewa kabla halijaondoka.
Kwa vile mara zote huwa wanasusa na wakirudi ndani sheria zishapitishwa sioni kuwa walisaidia chochote. Kubwa ninaloliona mimi ni kjiuliza nafsini mwangu jee hii ina maana kuwa CHADEMA wanakubali yote yale waliosusa hapo kabla? Pengine na filosofi zako unaweza kunisaidia kuelewa hapo.