Kumsimamisha Sioi Sumari CCM inatuambia nini katika ombwe la uongozi kwa walio nacho

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kwa mda mrefu CCM imekuwa na kampeni chafu hasa kwa ipinzani hasa pale wanapoteua au kumsimanisha mtu mwenye uhusiano na viongozi wa vyama hivyo. Cha kushangaza wana kula matapishi yao kwa kumpitisha mtoto wa marehemu tena kwa rushwa kwa mtazamo mwingine viongozi makini wanaachwa anabebwa mtu kigezo cha kujuana na rushwa. Wananchi wa Arumeru nawahurumia sana
 
C.c.m ina wenyewe bwana,wengine ni washadadiaji na wachotwa akili tu ili washabikie koo zilizotengwa maalum kula kuku kupitia chama!
 
Hii hali ni ya kufurahia kwa wana chadema,,ushindi kwa sasa umekuwa mwepes kuupata kwa kuwa tayari wapiganaji wao hawaelewani..safi sana maana tutapata hata kura za chichiem
 
Kumpa mtu kama ana uwezo si mbaya lakini kumpa mtu kukutea kwasababu baba ni mwasisi haipendezi.
Namkubali january makamba kiutendaji ila hawa wengine nahisi wamepewa tu.
Baadhi ya walio kwenye system
makongoro nyerere
hussein mwinyi
nape nauye
january makamba
sioi sumari nk...

Chama kina mfumo wa kifalme.
 
Hawa mafisadi safari hii watavuna walichopanda!

Kudadekii!!!!
Na bila shaka ni fundisho tosha!
 
Kwa mda mrefu CCM imekuwa na kampeni chafu hasa kwa ipinzani hasa pale wanapoteua au kumsimanisha mtu mwenye uhusiano na viongozi wa vyama hivyo. Cha kushangaza wana kula matapishi yao kwa kumpitisha mtoto wa marehemu tena kwa rushwa kwa mtazamo mwingine viongozi makini wanaachwa anabebwa mtu kigezo cha kujuana na rushwa. Wananchi wa Arumeru nawahurumia sana

Hapo inaonesha, tayari unajuwa matokeo! kwi kwi kwi kwi, te teh teh
 
a yule mbunge wa kupewa anayeishi Washington? mbona umemsahau?
 
Arumeru ni kielelezo cha Lowassa kumuonesha mkweree kuwa yeye anakubalika CCM kuliko yeye; kwani kama atamuwezesha mkwe wake kujipatia ubunge itakuwa ishara tosha kuwa sasa pesa yake itanunua urais wa Tanzania!!
 
Back
Top Bottom