Kumshukuru Mzazi . . . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Wana JF

Natumain mmemaliza kazi zenu salama, mnajiandaa kupumzika ili mpate nguvu za kufanya kazi tena kesho. Nisiongee sana, nieleze lengo langu.

Mzee wangu (Baba Mzazi) Mr. JMM anategemea kustaafu kazi rasmi mwezi ujao (June 2011).
Mimi ni Mr. MMN ni mtoto wake wa pili kuzaliwa kati ya watoto wa5 wa familia.
Nimekaa na kutafakari sana, nikaona nimpe AHSANTE kwa yote aliyonifanyia ktk maisha yangu, kuanzia kunilea, kuniongoza mpaka hatua ya nzuri maisha niliyofikia sasa.

Am proud of him, so proud!!!

Japo kuna wakati huko nyuma niliona kama ananitesa/ananionea nikawa namchukia kwa kiasi fulani, lakin baadae nikaja kugundua alikuwa ananijenga kimaisha

Sasa kwenye hiyo AHSANTE nimefikiria nimnunulie kitu ambacho kitamfaa yeye kama Baba.
Naomba mnishauri kitu gani hasa kinafaa nimpe, nimtunze, nimshukuru kama AHSANTE kwa aliyonitendea??? Hapa sirudishi gharama za malezi, ila NASHUKURU TU.
Kwa wale wataalamu wa kuchagua zawadi kulingana na mtu unaempelekea michango yenu tafadhali.

Naomba tuongelee kuhusu Baba tu kwa sasa, Mama wakati wake ukifika nitaongea.
Nawasilisha.
 
Am so proud of you
, watoto wa kiume husahau saana kuangalia kwa undani nafasi
ambazo wazazi wao wamecheza katika maisha yao ndani ya familia zao,
i believe kwa attitude hio hata babako atakua proud na wewe.
Kama mana ushirikiano mzuri na siblings wako, ni vizuri ukawahusisha
nao mkachanga pesa kuweza kumnunulia zawadi ya pamoja ya kumshukuru
huku mkihakikisha mnapika chakula cha pamoja cha wanafamilia tu - hakuna
haja ya ndugu na jamaa itakua kukuza mambo. Hongera saana.

BUT kama unataka zawadi ya peke yako CPU naomba niambie range
ya uwezo wako atleast kua na idea kua nini kitafaa....
 
Ungetuoa hint kuwa anapenda nini? manake kuna wababa wanapenda saa nzuri,wengine ng'ombe au mbuzi,na wengine hata magari....!! It depends na yeye na uwezo ulionao wewe. Nakubaliana na Asha ingependeza mngefanya na ndugu zako,mngeweza mpa kitu kizuri kama alama kutoka kwenu ya shukrani kwa mema mengi aliyowatendea....!!
 
  • Thanks
Reactions: CPU

Am so proud of you
, watoto wa kiume husahau saana kuangalia kwa undani nafasi
ambazo wazazi wao wamecheza katika maisha yao ndani ya familia zao,
i believe kwa attitude hio hata babako atakua proud na wewe.
Kama mana ushirikiano mzuri na siblings wako, ni vizuri ukawahusisha
nao mkachanga pesa kuweza kumnunulia zawadi ya pamoja ya kumshukuru
huku mkihakikisha mnapika chakula cha pamoja cha wanafamilia tu - hakuna
haja ya ndugu na jamaa itakua kukuza mambo. Hongera saana.

BUT kama unataka zawadi ya peke yako CPU naomba niambie range
ya uwezo wako atleast kua na idea kua nini kitafaa....

Nashukuru sana Asha D
Bahati ni kwamba mi bado ni bachelor wa nguvu, yaani sina hata mchumba achilia mbali mke
So nitaandaa zawadi mimi kama mimi nikichanganya na mawazo yenu.
Upande wa ndugu kila mmoja ameamua aandae ya kwake kwanza then tutaandaa ya pamoja
Kuhusu uwezo niko tayari kutoa mshahara wangu wa mwezi mzima kwa ajili ya huyu mzee wangu (Less than 4 Mil)
 
I salute you CPU... you are a good man.

I will be back!
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Wow....
Kwanza hongera sana kwa mzee na kwako pia kwa kutambua msaada na muongozo wake ulivyokusaidia!!
Naungana na partner kwamba ungewashirikisha ndugu zako mkamnunulia kitu kwa pamoja ingependeza zaidi...mnaweza mkamwandikia na barua ya asante pia!Mkimwandalia na kachakula ka mchana au jioni nna uhakika atafurahi sana!‘
 
  • Thanks
Reactions: CPU
CPU ni vyema sana kuona unamthamini baba yako na kutaka kuifanya hiyo siku so special..

Ushauri wangu ni kuwa chochote utakachomwandalia/mnunulia baba kiwe memorable katika maisha yake..pia unamfahamu vizuri na vitu apendavyo hiyo ni njia mojawapo ya kumchagulia zawadi.
My ideas ni kama hivi:-
- Unaweza ukapanga na mama&siblings zako pia na familia zenu kama mnazo mkapiga picha moja nzuri na kuweka kwenye frame..hivyo ukaifunga kwa gift paper. alternative, kama mna picha ya zamani ya familia na baba akiwepo unaweza kuitengeneza vizuri na kuiframe halafu kumpatia.
- Gateaway nzuri kwa sehemu unayofahamu anaipenda ila hajawahi kufika, mfanyie maandalizi na mama aende say for a week (hapa plans inabidi ziwe nzuri sana mana inategemea na eneo)

More ideas later CPU..maandalizi mema!!!
 
  • Thanks
Reactions: CPU
CPU najaribu kujiweka katika nafasi ya mzee wako,i am retiring,kijana wangu CPU keshamaliza masomo anajitegemea (tena kamshahara kanene 4m),huyo CPU wangu msela hajaoa na yuko above 30 (kuna thread ulijinasib ushavuka 30),then nasikia rumours wanangu wanataka kuni surprise na retirement party,nitataka nini kama zawadi toka kwa familia? Kuna zawadi ambazo zimezoeleka kuwapa wazazi kanzu,koti,shati (kwa mzee ),kitenge,khanga,viatu,saa (kwa mama).Mimi ningekuwa wewe ningeomba fursa ya kuwafanyia sherehe ndogo baba na mama katika tarehe ya anniversary ya ndoa yao na siku hiyo tungempongenza baba kwa kustaafu lakini pia kama ni wakristo baba na mama wangerudia kiapo chao cha ndoa mbele ya Padre/Mchungaji, na kama ni familia ya Waislam basi fanya Maulid,ita Masheikh watie baraka,toa na sadaka ya shukran,hii naamini itawainua mioyo wazazi na kuwa inspire watoto na ninyi mkusanye nguvu za kutafuta wenza wa maisha.Msalimie baba mwambie tunampenda sana.
 
CPU najaribu kujiweka katika nafasi ya mzee wako,i am retiring,kijana wangu CPU keshamaliza masomo anajitegemea (tena kamshahara kanene 4m),huyo CPU wangu msela hajaoa na yuko above 30 (kuna thread ulijinasib ushavuka 30),then nasikia rumours wanangu wanataka kuni surprise na retirement party,nitataka nini kama zawadi toka kwa familia? Kuna zawadi ambazo zimezoeleka kuwapa wazazi kanzu,koti,shati (kwa mzee ),kitenge,khanga,viatu,saa (kwa mama).Mimi ningekuwa wewe ningeomba fursa ya kuwafanyia sherehe ndogo baba na mama katika tarehe ya anniversary ya ndoa yao na siku hiyo tungempongenza baba kwa kustaafu lakini pia kama ni wakristo baba na mama wangerudia kiapo chao cha ndoa mbele ya Padre/Mchungaji,hii naamini itawainua mioyo wazazi na kuwa inspire watoto na ninyi mkusanye nguvu za kutafuta wenza wa maisha.Msalimie baba mwambie tunampenda sana.

Maneno kuntu hayo...
 
I salute you CPU... you are a good man.

I will be back!

Najua utapata maneno na ushauri mwingi na mzuri...
Lakini CPU ningependa kusema uliposema ununue zawadi ya kwako
mwenyewe nikafikiri utasema laki kadhaa au hata below laki.
Hio pesa uloandaa ni kubwa saana na zawadi sio tu kununua kitu fulani
na kumkabidhi mzee wako, naamini hata kufanya kitu fulani ambacho chaweza
mfurahisha ikiambatana na zawadi ni bora zaidi....

Sielewi maisha yenu kifamilia na ki uwezo mko vipi hivyo mimi nafikiri
sababu unafahamu hali ya mzee na unamfahamu vizuri waweza kua walau
na hints za vitu ambavyo anaweza penda - ukute wala hata si kikubwa saana.
Ila whatever zawadi utampa mimi naungana mkono na Bishanga kua sababu
kitu kama hicho hakijawahi fanyika (sherehe ya kumshukuru mzazi) mwaweza
ungana watoto woote pamoja na wajukuu (kama wapo) ili kujenga memories..
Wazee wengi wao kikubwa wanataka kuona familia zao ziko karibu na upendo kutawala...

Nakutakia kila la kheri katika maamuzi yako, na naamini mpaka watu wamalize
kuchangia mawazo na maoni utakua umepata jibu sahihi na litalo mfurahisha
Mzee wako.... GOOD LUCK.
 
Nakubaliana na mawazo ya wote waliotangulia ila hilo la kushiriki pamoja wewe na siblings zako kununua zawadi na kuweka party ni nzuri zaidi.Unakuta siblings zako wengine hawana uwezo wa kumzawadia,au kila mtu angemzawadia kivyake kuna mwingine ambaye zawadi yake inaweza kuwa ya gharama zaidi,Hiyo inaweza ikasababisha kuugawa moyo wa mzazi na kumfanya mzazi kuona mtoto flani anatamani zaidi ya mwingine.kwahiyo mkitoa zawadi au shukrani pamoja inakuwa wote mmeugusa moyo wa mzazi hata siku ikitokea kitu chochote yeye anaweza akawathamini au kuwabalance watoto wake wote.
 
CPU najaribu kujiweka katika nafasi ya mzee wako,i am retiring,kijana wangu CPU keshamaliza masomo anajitegemea (tena kamshahara kanene 4m),huyo CPU wangu msela hajaoa na yuko above 30 (kuna thread ulijinasib ushavuka 30),then nasikia rumours wanangu wanataka kuni surprise na retirement party,nitataka nini kama zawadi toka kwa familia? Kuna zawadi ambazo zimezoeleka kuwapa wazazi kanzu,koti,shati (kwa mzee ),kitenge,khanga,viatu,saa (kwa mama).Mimi ningekuwa wewe ningeomba fursa ya kuwafanyia sherehe ndogo baba na mama katika tarehe ya anniversary ya ndoa yao na siku hiyo tungempongenza baba kwa kustaafu lakini pia kama ni wakristo baba na mama wangerudia kiapo chao cha ndoa mbele ya Padre/Mchungaji, na kama ni familia ya Waislam basi fanya Maulid,ita Masheikh watie baraka,toa na sadaka ya shukran,hii naamini itawainua mioyo wazazi na kuwa inspire watoto na ninyi mkusanye nguvu za kutafuta wenza wa maisha.Msalimie baba mwambie tunampenda sana.

Ha ha ha
Shukrani ndugu Bishanga
Naomba nikurekebishe hapo kwenye miaka. In fact sometimes huwa sipendi nijulikane kiumri ninapoona nipo ktk kundi la watu wazima wengi. Napenda nionekane nipo rika lao. Lakin kiukweli nijavuka 30 ila nakaribia kufika hapo.
Ngoja niyafanyie kazi maushauri yako mazito ndugu
 
Wewe ndugu yangu kabla sijasema shukrani kwa mistari yako, hiyo Avatar naona kama nimekufananisha?!!!!
Si ajabu ndo wewe kwenye hii Avatar
:biggrin1:
 
Back
Top Bottom