KUMRADHI: Tupo kwenye marekebisho MUHIMU

wenzio huwa tunavuta subira....sijui wewe kilikushinda nini....
hata baadae haikuja???....
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

mods ..peleka bandiko hili kwenye congrats and complains ASAP.....
 
Mkuu hizi hasira tungezielekeza kwenye mabenki ambapo tukifata pesa zetu tunaambiwa mtandao upo down ingesaidia zaidi... hao ndio wa kuwabana..., Lakini JF inaendeshwa na watu wachache kwa pesa za michango hata ambazo hazitoshi kwahiyo hata kuwa na downtime once a week they are doing a great job....., its hard to manage this things.., hii sio kama Yahoo ambao wana mamia ya employees...., au Banks ambao wana-employees kibao lakini bado utendaji kazi wao ni mdogo...., probably walizani itachukua 30mins lakini after 30mins tatizo bado likawa kubwa...
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

kazi za kiufundi hizo mkuu
hata operation inaweza kuzidi muda kulingana na ukubwa wake
be patient
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

Wewe umetoa ahadi 97 majukwaani umetekeleza mangapi?
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

"Tutafunga mikanda kwa miezi 18 tu". Mwl. J.K Nyerere (1979). Mzee wetu tumemvumilia kwa zaidi ya miaka 18, itakuwa hii ya JF?
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

Changia kidogo JF kufanya kazi za hawa ndugu zetu ziwe naurahisi! Si unakuwa mwepesi wa kulaumu. Wasiliana na Max akuelekeze namna ya kuasidia JF
 
Huna mchango wowote unaouchangia JF kinakuuma nini! Mpaka leo unaonekana senior expert! huna hata aibu kabisa! changia JF ulalamike in critical point! wenzio tunachangia tumevumilia sembuse wewe usiyechangia chochote!
 
Changia kidogo JF kufanya kazi za hawa ndugu zetu ziwe naurahisi! Si unakuwa mwepesi wa kulaumu. Wasiliana na Max akuelekeze namna ya kuasidia JF

Wozoza na wewe unatuangusha jamaa yangu, na wewe changia kidogo bana. Namba zao hizi: 0755 642929, 0713 444649
 
Siku ya Jumamosi tarehe 22/01/2011 ulipotaka kuingia (Login) kulikuwa na meseji hii :

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. We will be back shortly (30min). - Uongozi JF

Lakini kila unapojaribu kuingia baada ya hizo dkk 30 walizosema hapo ilikuwa haiwezekaniki. Kwa hiyo nilikuwa naomba uongozi wa JF , next time wawe wakweli kwa kuliko kutuwekea muda ambao haukuwa kweli

Basi kwakua ulisubiri sana ifunguke inaonekana ulikua na mada muhimu sana ulitaka kuweka hapa JF tafadhali mkulu sasa JF iko ON tuwekee hiyo issue uliyotaka kutupa!
 
Niwafahamishe mapema kuwa user details zitakuwa juu.

Hapo ndipo nilikuwa napasubria kwa hamu sana, pia mkuu naomba ikiwezekana tutambue na jinsia ya member kwenye profile yake, maana haya mambo ya kuandika kumuita mtu dada kumbe ni dume ni hatari sana!
 
Max,

kazi unayoifanya sio ya kawaida kwa kweli. HOngera sana kwa kutoa nafasi uwajnja kwa jamii kuweka mawazo yao hapa. Kwa kweli mimi nimefaidika sana na hii Jamii forums.

Mungu akuongezee baraka, akili, maisha marefu na wingi wa mafanikio kwa kila unachokifanya.

Long live Max
 
Wakuu,

Siku nzuri kufanya MAREKEBISHO MAKUBWA na MUHIMU huwa ni aidha Jumamosi ama Jumapili, hivyo mtuwie radhi kuna marekebisho makubwa kiasi tunafanya lakini hayataathiri utendaji mwingine.

Mwonekano wa JF unaweza kubadilika wakati wowote lakini hautasababisha kutoweza kuendelea na discussions kadhaa.

Hatukuona sababu ya kufunga kwakuwa haina athari bali mwonekano tu ndo unaweza kuwa unabadilika kulingana na tests tunazofanya kwa upande wetu.

Ahsante kwa uelewa!

kwenye avatar ni picha yako halisi? Anyway, inapendeza kuwa na sura inayokidhi mahitaji ya mda husika! Ni kama katiba 2.
 
Kweli wakubwa maana life re-lie on changes for perfectness, as learned from the prior knowledge. That is as you leave in wet learn the signs of draught. Together forever no matter what I promise new appearance organise rationale, efficiency and effectiveness.
 
Wakuu,

Siku nzuri kufanya MAREKEBISHO MAKUBWA na MUHIMU huwa ni aidha Jumamosi ama Jumapili, hivyo mtuwie radhi kuna marekebisho makubwa kiasi tunafanya lakini hayataathiri utendaji mwingine.

Mwonekano wa JF unaweza kubadilika wakati wowote lakini hautasababisha kutoweza kuendelea na discussions kadhaa.

Hatukuona sababu ya kufunga kwakuwa haina athari bali mwonekano tu ndo unaweza kuwa unabadilika kulingana na tests tunazofanya kwa upande wetu.

Ahsante kwa uelewa!

...........daima tupo wote, poleni kwa kazi ngumu
 
Back
Top Bottom