Kumpa HOUSE GIRL makufuli afuwe ni UNYAMA......

Kuna mama wa Iringa nimewahi kuishi kwenye nyumba yake kimara kwa mara ya kwanza nilishangaa kuona housegirl anafua nguo za ndani za huyu mama siku za jumapili kamba nzima inajaa chupi zake.

aisee, hivi mtu kama huyo yeye akipewa za mwenzie anafua kweli?
 
Jamani mtafutieni pilipili ya unga, au hata mbichi isagwe na juice yake ichanganywe na maji ya kusuuzia. Mama akivaa hiyo kufuli wakati wa joto ataipata fresh. Hata kama ni sokoni mama atapitisha mkono akune.

Hivi ndivyo tulivyo mkomesha mama mmoja tena wa asili ya asia. Atakuna K mpaka itawaka moto.
 
Wewe inaonekana ndio walewale,mim nna mke wangu,mtoto wa miaka 15 ni kama mdogo wangu na hawez kamwe kuwa na mvuto kwangu!CHUPI ZINAFULIWA NA ANAANIKA KWENYE KAMBA ukiangalia sio size zake.Lazima tujiheshimu huwez kumpa mtoto uchafu wako afuwe bwana,kisa nin?BINADAM WOTE NI SAWA!

Wewe unasema huo ni uchafu? unashangaza sana, watu tuna dive huko! ungejuwa kuwa hakuna ute msafi kama wa huko usingesema yote hayo, tatizo ni elimu tu.

Nguo ni nguo iwe ya ndani au ya nje. Kuna misoksi inanuka na anafuwa hg. Yote ni katika kazi kuna watu wanazowa mashonde na wao unasemaje kuwapa hiyo kazi? kwanini hufanyi mwenyewe. Kuna uchafu zaidi ya wachooni? na watu wanafanya na ndio kazi yao na wanalea watoto zao mpaka kesho.

Wacheni ujinga. Mimi nimeshakwambia, chupi zangu nampa hg afuwe, na si bure, namlipa. Hawezi anaacha kazi.

Unawapigisha deki chooni itakuwa kufua chupi?

Nimeuliza huko juu, jee, wale wasiovaa chupi, wasiwape suruali zao kufuwa.
 
Mmmh?Dunian kuna mambo!
 
Laiti angeona kipindi kilichorushwa na Joyce Kiria.............. Wanawake Live kuhusu kuwnyanyasa mabinti wa kazi, asingethubutu.
 
mwanamke kumpa binti wa kazi nguo za ndani amfulie ni kudhihirisha kuwa ni mchafu hivyo hana analoweza katika idara ya usafi na ni wazi kuwa uchafu umekula uwezo wake wa akili na sasa amekuwa jitu na si mtu
 
Hayo mambo yenu watu wa kisasa...ntafua mwenyewe wakati naenda kuoga.
 
Inamaana mama kama zake mwenyewe hawez kufua,ni wazi hata za mmewe akiugua atampa hg,ni KUKOSA UTU!
 
Mama mmoja mwenye asili ya Kondoa,ana binti msaidiz wa miaka 15,anamnyanyasa sana huyu binti,anampiga mara kwa mara,na mbaya zaidi huwa anampa mtoto afuwe had nguo zake za ndani,kwa kweli huu ni UNYAMA KABISA
Ishu ya namna hii ya kufua makufuli nimeisikia kwa jirani yangu (kupitia kelele za matusi na kipigo kwa dada wa kazi). Kimsingi jirani huyu anatesa akina dada wa kazi, huyu ni wa nne kwa miaka hii miwili. Huyu mpya aliyenaye sasa kipigo hakiishi.
Lakini jamani, kama unaona dada huyo wa kazi hakufai kwa nini usimrejeshe ulikomtoa? Hujui kuna siku unaweza kumuua kwa kipigo?

watu wana roho mbaya sana. wanawake wengine tunajidhalilisha sana. house gal ukishampa nguo yako ya ndani akufulie atakuheshimu kweli? mwingine chumba chake anacholala na mumewe, kinasafishwa na hse gal...!! wanawake acheni uvivu na dharau zilizopitiliza. mimi nguo yangu tu ukiona nimempa house gal afue, ujue ni dira au khanga tena za kushindia nyumbani. chumbani kwangu hata amalize miaka mitano kwangu, hatajua hata kitanda kimegeukia wapi. wanawake tujithamini. kama kuna mwingine hapa mwenye katabia haka, aache mara moja...$$$**%%**8grr*8@@###
 
Azipeleke hizo chupi' kwa mganga wa kienyeji
Akivaa tu anageuka jinsia......
 
Kuna mchangiaji anajiita ZOMBA huyu hamnazo, ina maana hajaenda ht shule! Haki za binadam lazima zizingatiwe. ZOMBA KASOME declaration of human rights ndo uje haja jamvini.
 
Back
Top Bottom