Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Sio ushikwe na kihoro MJ inabidi umfaham mwanamke. MEN and WOMEN are different a man is on heat most of his life but a woman is not... She goes through periods of time where she cools off.. she's not thinking about sex when she has to get up 6 times at night to feed a baby.. when her genitals have 25 stitches and she's bleeding like she's been stabbed.

When she is worrying about something, when her child is sick, when her mother is unwell.. She won't want to share her body when she feels ugly, when she is depressed and unhappy. When she feels sad and pityful.

asante
umemaliza yote kwa ujumla huu
lol
 
ananiambia alimpa mr kila kitu kutoka mwilini mwake lakini kaja kujua mr ana mwanamke ana mimba nje, na kamuuliza mr, mr kakubali ni kweli ana mwanamke mwenye mimba, hicho kitu, kidogo nipige yowe kwenye cmu,

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,maweeee yoooo!!
haki ya nani vile
 
afadhali umenisaidia kupiga mayoweee....
 
Hiyo inawezekana, lakini indirectly..
Siyo kwamba mwanaume asipofanya basi anakufa, nooop!
Ila kwamba huenda baada ya kunyimwa alienda kutangatanga huko mabarabarani, na aidha akakanyaga waya wa shoti, au alifumaniwa mahala, akapigwa na kupelekea mauti!

I concur with Paka Jimmy. unyumba sio a direct killer. Hata kuna wau wanakufa wakiwa katikati ya unyumba sio kwa sababu unyumba ni sumu ya moja kwa moja. N kama sigara unapoivuta maana yake ni kwamba unajiua polepole. Huenda mtu huyo alikufa kwa kihoro tu, akifikiria kudharauliwa na mkewe. Hatujui alinyimwa tu au aliongezewa masimango zaidi ya kunyimwa. Ngono ni dawa kama ikitumika vizuri. Matatizo mengi ya binadamu huondoka kwa relief inayotokana na ngono. Tension nyingi humalizwa na ngono, lakini pia ngono inaweza kusababisha tension inayoweza kukuua. Wanaokufa katikati ya ngono wengi huwa ni kwa sababu ya hypertension ambazo wanazo ila hawakutambua na kutibu. Lakini hyper-tension ya kunyimwa pia inaweza kukuua hata pasipo kusarandia ngono mitaani, ila usongo wa mawazo tu ambao unavuta msururu wa uharibifu wa utendaji kazi wa mwili katika ukawaida wake na kuzua secondary deadly problems.

Kwa maelezo ya kina mama hao, tafsiri ziko nyingi, lakini wanawake wanapoelezea kuua kwa njia hiyo humaanisha kwamba mwenzao alipomnyima mumewe, mume alilazimika kutafuta mbadala ambao umesababisha akutane na matatizo mengine ambayo kama angepewa ngono na mkewe huenda asingekutwa nayo na kusababishiwa kifo.
 
mhh mie sio mkali kihivyo noname, lakini napenda twende sawa, inategemeana na yeye atakavyoona/kubali kosa lake, nikupe mfano tu lim2 limetoka hme vizuri umeliandaa vizuri jioni linakujia na cjui lipstick kwenye shati, halafu tena nikae roho juu kusema ooha nikimbania ataenda nje...afike salama mpaka atakapojickia kunyoosha maelezo...huo ni mfano tu.
U r absolutely right ... I dont know why men are like this and why do they expect us to just shut up? frankly speaking this is a terribly exhausting game:angry: If I suspect my man of cheating and the hunch was bothering me that much I'd just ask him and I expect him, to be honest.... otherwise there wont be no peace at home... However I've drastically changed how I think about cheating. So many men cheat that I'd wonder if a man was 'normal' if he never did.:frown:
 
OMG... to be honest?...wachache sana na kama unatafuta mashairi hapo ndpo yanapoanzia.
 
OMG... to be honest?...wachache sana na kama unatafuta mashairi hapo ndpo yanapoanzia.

Najua Nyamayao... si ndio apo sasa matatizo yanapoanza? .... yaani mie nataka anielze vizuri ili tuweze kuendelea na maisha otherwise its gonna be tough...
 
OMG... to be honest?...wachache sana na kama unatafuta mashairi hapo ndpo yanapoanzia.

So do u think your man is dishonest, or is he among the 'wachache sana'? Kinamama mna uhakika kuwa huu si wasiwasi wenu tu, kwamba wanaume ni waaminifu lakini wanawake wanaamini otherwise? Au wanaume si waaminifu, na wanawake ndio mashahidi maana ndio wanaotenda nao hayo yasiyo ya kiuaminifu?
 
INAWEZEKANA.!
Jambo hasa ni Akili ya muhusika na utashi wake ni namna gani alipokea hiyo kitu.
lakini kwa hali halisi kidume cha ukweli huwezi kuyumba kwa kunyimwa mambo na bibie sababu umemkuta nacho akikunyima tafuta kingine,
Maisha kufurahia na siyo kutesana bana.!
 
Najua Nyamayao... si ndio apo sasa matatizo yanapoanza? .... yaani mie nataka anielze vizuri ili tuweze kuendelea na maisha otherwise its gonna be tough...

hapo ndio kasheshe linapoanzia dear, wewe wacha tu...nicmwage mchele hapa....
 
So do u think your man is dishonest, or is he among the 'wachache sana'? Kinamama mna uhakika kuwa huu si wasiwasi wenu tu, kwamba wanaume ni waaminifu lakini wanawake wanaamini otherwise? Au wanaume si waaminifu, na wanawake ndio mashahidi maana ndio wanaotenda nao hayo yasiyo ya kiuaminifu?

wanaume waaminifu ni wachache sana tena sana na kuna dalili kukawa hakuna mwaminifu baada ya muda mfupi, ndio mana wengine hatufikirii hayo bali heshima yake inahitajika sana tena sana...mengineyo Mungu anajua.
 
Afadhali sasa unaanza kufunguka!

Wanaume wote, akiwemo mumeo si waaminifu. Hiyo itasimama mpaka mwisho wa dahari!!!!!!
 
Back
Top Bottom