Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
Akisafiri kwani kina Eliza si wapo? Mi nikikaa siku mbili huwa napata kizunguzungu!
wakina Eliza ndio hao mnaowakidua huko nje?...Chris sema ukweli kumwaibisha shetani, cku 2 huwezi kukaa? sasa akiwa hewani kwa cku 3-4 ndio mnawakimbilia hao wakina Eliza?