SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
Kutokana na kuposha mara kwa mara na kutoa taarifa ambazo hana uhakika nazo, Dr.Wilbroad Slaa ameonekana kupoteza mvuto kwa baadhi ya watu.
Kwa kuwa kila taarifa anayotoa kwa mbwembwe inapingwa na kukanushwa hadharani, jamii kubwa sasa inaonekana kumpuuza sana Dr.Slaa kwa sasa na hii huenda ikampunguzia umaarufu wake na watu kumfananisha na enzi za Augustino Mrema alipokuwa akitoa mabomu kama haya ya Slaa.
Umeona nyomi la Iringa leo?
Tangu 2005 mlisema bado kidogo hadi leo hii tena oooh bado kidogo. Wananchi wameshajichokea