Kumlalamikia lecturer

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Ndg,naomba utaratibu ninaoweza kuufanya,kulalamikia lecturer ambaye amenicarrisha,kwa kukataa kusahihisha asignment paper yangu,na hataki kuirudisha.mtihani unafanyika alhamisi.naweza kufanya nn ili haki itendeke na nifanye mtihani?
 
Swali kwako Plato, kwanini amekataa? Yawezekana ulichelewa kuisubmitt, haiwezekani akakataa hivi hivi bila sababu, lazima kuna issue wewe na huyo lecturer, au mmegongana anga fulani? Haya pole sana ila tueleze kwanza kilichopelekea yeye kukataa yawezekana wewe una tatizo
 
kiufupi yeye ni mkorofi.anakataa kupokea photocopy ila orijinal tu.sasa komputer nyingine wino haukolei.anadhani ni photocopy jambo ambalo si kweli.analazimisha.kesi hii imewakumba watu 27.mimi aliponiuliza niliargue kuwa japo kazi yangu si photocopy,lakini kosa lingekuwa kama nimeiba kazi ya mtu.baadaye alitaka tulete manuscripts.mimi nilipoleta akaikataa akisema mm nimesema nimeiba kazi ya mtu.alinimis interpret.so alikataa kupokea manuscript,na ameniambia nifanye chochote.
 
Hicho chuo chenu hakina by laws? Soma by laws uchukue hatua kulingana na taratibu za chuo chenu. Ukiuliza hapa JF, kila mtu ana experience ya chuo chake sasa atakushauri kulingana na chuo chake badala ya hicho ulichopo wewe. Kulingana na kesi ilivyo, kokote utakakopeleka bado atakushinda, vinginevyo uombe usubmit softcopy ya kazi yako. Mwambie akupe email address umtumie kwenye email. Na kama hayupo tayari, andika baru kwa VC academic kupitia kwa head wa idara husika na kwa dean wako.
 
Walimu wengine bana...!!au mmechukuliana wanawake mkuu?
 
kwan nyie hamna quality assurance bureau? nenda huko katoe malalamiko yako in writing, pia kama kuna fomu za course evaluation zitumieni ipasavyo kumuadhibu.
 
Kama unaweza we jishushe tu. Muombe msamaha hata ukionekana mjinga sio mbaya ilimradi tatizo liishe usiwekewe incomplete. Yawezekana labda ulibishana nae sana akaona labda umemdharau kwenye kazi yake, na kama alivosema mdau hapo juu, muoneshe pia soft copy manake huyo anaweza asikusaishie hata mtiani alafu mwisho wa siku unaambiwa umedisco!
 
Duuuh, mkuu wangu! Kama niaje niaje muombe usubmit hata softcopy basi! Kucarry mkuu sio ishu kabisa! Angalia na the other side of the coin mkuu! Ol in ol,pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom