Kumkashfu rais sioni kama ni jambo la busara sana.

mlitaka tusimwite mkwere kwanini yeye si mkwere? Au mnataka tumwite vile vyeo vya kupachikwa dr,dr,dr,dr, acheni hizo bwana yeye mwenyewe anajiita mkwere na ateendelea kuwa mkwere tuu na upumbavu wake!

Hivi Mkwere na Mbarbaigi nani zaidi?
 
Back
Top Bottom