Kumjua adui yako inasaidia????

Kikomelo

Senior Member
Sep 12, 2011
106
57
Za leo wana Jf, nataraji mko vzr. kuna ishu moja imenishangaza kidogo, watu wakishaona majina kwenye website ya watu kuitwa kwenye usahili basi wanaanza kutafuta information za wale wanaooneka kuwa watafanya interview nao!
Kwa mfano kuna sehemu tuliitwa watu 8 kwa ajir ya kufanya interview ya assistant lecturer, ila siku nilipofika kwenye eneo la interview nilishangaa kuona kuna mtu ananijua kwa jina! Baada ya kuzoeana nikamuuliza alinijuaje maana sikuwa na kumbukumbu ya kukutana naye hapo kabla. ndo aliponiambia kuwa alikuwa akiingiza majina ya watu kwenye google na kutafuta habari zao kama kujua matokeo yao ya form iv na six na kujua wamesoma vyuo gani?
Mi nilishangaa kwa kweli, na badae mtu mwingine tena akaniambia yeye pia huwa anafanya ivyo ili kujua hao atakaopambambana nao wakoje!
Je wewe mwana Jf unadhan ukimjua mpinzani wako in advance inakusaidia au ni kupoteza muda?
 
It's nonsense, ukishamjua candidates mwenzako ndo nini? utapata hiyo kazi? do the Interviewer ask about your fellow candidates applying for the same post?....mimi nafikiri ni Ulimbukeni tu,badala ya kuchimba kutafuta details za hiyo office unayotaka kujiunga nayo au hiyo posn you are applying for wewe unakwenda ku'dig information za candidates wenzako wana nini GPA na vitu vya aina hiyo......watakaokuwa shortlisted pamoja na mimi Wanichimbe tu kwakweli mimi nitakuwa nachimba details za muhimu ambazo najua zitanipa nafasi ya kuonekana nina cha ziada ninachokijua zaidi ya watakachokuwa wanakijua wao(GPA yangu).
 
strategy mbovu hiyo ya interview

Wao wanakuwa wanataka kujua umesoma wapi, CBE, IFM, MZUMBE au UD! Na wanacheck kwenye facebook kuona ukoje na unafanya nini kwa sasa! Kama mtu kasoma TIA na wewe umesoma UD unadhan ndo utamshinda kwenye interview? kitendo cha kuitwa kwenye interview hata kama nina GPA ya 3.8 na wewe una 4.5, inamaana kuwa I can stand before na nikikushinda watanichukua mimi na 3.8 yangu! isingekuwa ivyo basi wenye 4.5 wangekuwa wanaajiriwa bila interview.
 
ndugu hao ndo wachawi wenyewe ofisini wakiajiriwa ndo kila siku wanafatilia mambo ya watu badala ya kufanya kazi,kitu muhimu kinacho kufanya upate kazi is u re competent,
 
Back
Top Bottom