Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,193
- 25,504
Nianze kuzipongeza Shule zote zilizoshiriki mitihani ya kidato cha pili na kupokea walichostahili.Nawapongeza pia wanafunzi waliofaulu na kuwapa moyo wanafunzi wanaotakiwa kukariri kidato cha pili mwaka huu 2013.
Nikiri kuwa,ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu ya miaka niliyokuwepo hapa duniani kuona,kusikia au kuambiwa kuwa wanafunzi bora kumi wa mitihani yoyote ile ya Taifa:darasa la saba,kidato cha pili,kidato cha nne au cha sita kutoka katika Shule mbili tu.
Hii naiona kama dalili ya kudumaa kwa elimu yetu iliyokuwa imesheheni changamoto za kishule.Sasa,shule za walionacho tu zinafanya zipendavyo.Hili si jambo jema. Ushindani ule uko wapi?
Hongereni St.Francis na Kaizirege kwa kuwafanya wenzenu 'vibaya'!
5.0UFAULU WA WANAFUNZI
Wanafunzi Walioshika Nafasi Kumi za Mwanzo

Na | JINA | JINSI | SHULE |
1. | MAGRETH KAKOKO | KE | ST FRANCIS |
2. | QUEEN MASIKO | KE | ST FRANCIS |
3. | LUKUNDO MANASE | ME | KAIZIREGE |
4. | FRANK J NYANTARILA | ME | KAIZIREGE |
5. | GRACE MSOVELLA | KE | ST FRANCIS |
6. | HARIETH MAKIRIYE | KE | ST FRANCIS |
7. | ROBINNANCY MTITU | KE | ST FRANCIS |
8. | HUMRATH LUSHEKE | KE | ST FRANCIS |
9. | MUKHSIN HAMZA | ME | KAIZIREGE |
10. | ANASTAZIA KABELINDE | KE | KAIZIREGE |