kumekucha

Oct 12, 2012
22
4
jamani za asubuhi
kumekucha kwa wale wakristu kama kawa tujiandae kwenda makanisani
mimi nasali misa ya pili leo
jpil njema

kristu...
 
Yes bt sidhani kama uko sahihi kuweka uzi huo kwenye hili jukwaa by theway imekaa fb sana sio jf home of greater thinker.
 
Wokovu wetu....

Mimi ntasali ibada ya tatu St.Peters Oysterbay..
Mkuu hili bandiko lako limekaa pabaya..
 
Thanx but umeimiss locate hili ni jamvi la elimu au basi ungetufundisha kipya spiritualy coz socialogists na anthropologists wanagonga religion.
 
Back
Top Bottom