KUMEKUCHA, Mramba amtaja Mkapa!

it doesnt make sense kumshitaki waziri kwa maamumizi aliyoyafanya kama waziri and the somehow believe that mkuu wake wa kazi yuko safi!!! hiki ndicho anachosema Mramba, and he is damn right...
meli ikipotea njia captain ndio anapaswa kuwa mtu wa kwanza kuulizwa sababu za kupotea, sio wasaidizi wake.

Haitatokea hata siku moja mpaka CCM wapungue Bungeni Mkapa avuliwe kinga when then?
 
Haitatokea hata siku moja mpaka CCM wapungue Bungeni Mkapa avuliwe kinga when then?
nadhani kinachifanya swala zima liwe na ugumu wa ziada ni lugha inayotumika. hakuna haja ya kusema Mkapa avuliwe kinga, cha msingi ni kugeneralize - marais wastaafu au marais wavuliwe kinga. tukisema mkapa avuliwe kinga, kuna wanaojiuliza what about Mwinyi?
 
Wana JF wakiwa kama cross section ya Watanzania wanajua ni yupi kati yangu na wewe ni mtu ambaye yuko "out of touch".

Kitendo cha kutamka tu kwamba "JamiiForums ni cross section ya Watanzania" kinaonyesha wazi kabisa kwamba uko patently out of touch. Vibaya mno. Absolutely out of touch.

Watanzania hawana, achilia mbali internet, au computer, na umeme, au kujua matumizi ya computer, au hata kuisogelea au kuiona hiyo computer, ni kwamba hawajui kusoma na kuandika. Abysmally out of touch.

Wewe unaona ni sawa kwa mtu kupotosha taarifa kwa sababu wewe una luxury ya point-and-click ya kusoma kilichomo ndani. Wenzako inabidi wanunue gazeti kuona kama hicho kichwa cha habari ni cha kweli au uongo.

Unaniuliza kama nimefanya survey kujua kama wasomaji huwa wanapotoshwa na hivyo vichwa vya habari au la. Duuuh. Hujui kwamba nchini mwako hili ni tatizo. Huna habari. Huna sensitivity. Again, irreparably out of touch. Wahariri wa magazeti wananiambia, kuhusu swala hili, kwamba vichwa vya habari "vina kazi yake," vinaandikwa hivyo kwa makusudi. Tafsiri (kama uko out of touch kunyaka hapo), wanasema, gotta eat, somebody gotta lie!

Halisi amekosea kusema Mramba amemtaja Mkapa wakati anakiri ndani ya habari kwamba "hakumtaja Mkapa." Kama anakiri hakumtaja, kwa nini kwenye kichwa cha thread aseme kamtaja? Kuweni wakweli. Na huwezi kusema ni vibaya kumuita mtu mwongo wakati ni wazi hakusema kweli. Na utetezi anaokuja nao ni kwamba eti hata gazeti la Tanzania Daima limeandika hivyo hivyo. Tabloid la Tanzania Daima ndio mwongozo wako?
 
Last edited:
Kitendo cha kutamka tu kwamba "JamiiForums ni cross section" ya Watanzania" kinaonyesha wazi kabisa kwamba uko patently out of touch. vibaya mno. Absolutely out of touch.

Watanzania hawana, achilia mbali internet, au computer, na umeme, au kujua matumizi ya computer, au hata kuisogelea au kuiona hiyo computer, ni kwamba hawajui kusoma na kuandika. Abysmally out of touch.

Wewe unaona ni sawa kwa mtu kupotosha taarifa kwa sababu wewe una luxury ya point-and-click ya kusoma kilichomo ndani. Wenzako inabidi wanunue gazeti kuona kama hicho kichwa cha habari ni cha kweli au uongo.

Unaniuliza kama nimefanya survey kujua kama wasomaji huwa wanapotoshwa na hivyo vichwa vya habari au la. Duuuh. Hujui kwamba nchi mwako hili ni tatizo. Huna habari. Huna sensitivity. Again, irreperably out of touch. Wahariri wa magazeti wananiambia, kuhusu swala hili, kwamba vichwa vya habari "vina kazi yake," vinaandikwa hivyo kwa makusudi. Tafsiri (kama uko out of touch kunyaka hapo), wanasema, gotta eat, somebody gotta lie!

Halisi amekosea kusema Mramba amemtaja Mkapa wakati anakiri ndani ya habari kwamba "hakumtaja Mkapa." Sasa kama hakumtaja, kwa nini kwenye kichwa cha thread useme kamtaja? Kuweni wakweli. Na huwezi kusema ni vibaya kumuita mtu mwongo wakati ni wazi hakusema kweli. Na utetezi anaokuja nao ni kwamba eti hata gazeti la Tanzania Daima limeandika hivyo hivyo. Tabloid la Tanzania Daima ndio mwongozo wako?

....blah blah blah na mineno miiiiiingi iliyojaa chuki na kejeli kila kukicha. Tanzania Daima ni tabloid kwako, kwangu mimi ni gazeti la habari za hapa nyumbani.

Nimekuuliza maswali yafuatayo baada ya kusema kuwa walionunua THE CITIZEN jana waliibiwa hela:
Je, unavithibitisho vyovyote kuonesha hilo? Ulifanya survey kwa kuwahoji kila mmoja baada ya kununua gazeti hilo? Una uhakika gani hawakununua gazeti hilo ikiwa kama upenzi wa gazeti, kwa maana kwamba ni gazeti wanalonunua kila siku bila kujali vichwa vya habari? Una uhakika gani kuwa waliponunua hilo gazeti hawakuwa wanafata habari nyinginezo kama vile michezo na tamthiliya? Survey hiyo ulianza kuifanya lini na ukaikamilisha lini? Je, unavithibitisho vya haya yote au ndiyo nawe tukuite muongo katika jitihada zako za kukataa waandishi kama hao?

Jibu maswali hayo, au sema kama umejitungia kwa mara nyingine tena kwa uchunguzi wako usiokuwa na kichwa wala miguu na kuamua kuyaandika hayo hapa JF. Au basi mtaje mhariri walau mmoja aliyekuambia yale unayodai, au kama ulisoma kwenye gazeti fulani hivi kama maoni, litaje. Au nayo mpaka ufanye uchunguzi mwingine ili kumtaja?
 
Wana JF, mnatakiwa kujua na kuelewa kuwa serikali yatu ni "MADE IN CHINA", hapo hakuna kitu kitakachofanyika, kama wameshindwa kuiadhibu Kagoda kw ahoja za kiini macho tusitegemee ktu hapa. Walichokifanya hapa ni "NAME AND SHAME" hakuna hukumu yoyote

Rgds
 
magazeti yameandika hii habari kuuza ..ukisoma ndani hakuna mahali alipotajwa mkapa bali imetajwa ikulu...ambayo ni taasisi ...inayojumuisha BARAZA LA MAWAZIRI..ambao wanaaapa [kwa namna yeyote kutooa siri za baraza la mawaziri]...na wanasimama kwenye [collective responsibility].........kikwete ,shein ,pinda ...et al walikuwapo kwenye baraza la mawaziri.....ndio maana tunasema hizi kesi ni za kisiasa....hasa zaidi zikichochewa na chuki ya kikwete kwa mkapa......LAKINI KESI ZA NAMNA HII HUISHIA SERKALI KUSHINDWA....KWANI HAZINA MSINGI IMARA!!!....sasa ameshataja baraza la mawaziri..whats next????

kama si chuki za kikwete kwa mkapa ..yote yanafanyika kwa baraka zake ....mbona hakuwakamata lowassa,karamagi na ibrahim....ambao ushahidi wao waala si wa kumungunya mungunya?????????

si ndio yeye alikuwa watu wake kwa maelekezo yake walikuwa wakisimamia mkapa atukanwe kila siku magazetini?????.....then alipoona kumbe kazi ngumu akliwa songea ...akajibaraguza kwa kusema ..anaomba waandishi wamuache mkapa??

visasi tu!!!... leo hii vinapelekea hadi chama cheti imara kama ccm kinageuzwa cha kidini.....umeona wapi ratio za uongozi chamani zimefikia unrealistic representation of the members or country demographic population kiasi huki??...LEO HII KAMATI KUU ASILIMIA 80% SITAFUNI MANENO ...NI WAISLAMU ...WHAT IS THIS MOCKERY???

SAFU ZA VIONGOZI ASILIMIA ZAIDI YA 80%....TAZAMA HADI KWENYE JUMUIA .....ZA CHAMA ........SIJAANGALIA VEMA HALMASHAURI KUU PALE...LAKINI HII HAITUPELEKI PAZURI KAMA TAIFA????...LAZIMA UONGOZI UWEKE RATIO ZETU SAWA UWAKILISHI KIDINI ,KABILA .....HATUNA KAWAIDA YA KUUONGEA WAZI...LAKINI SI WA KUUDHARAU...!....AU MNATAKA TUKIKIE KAMA KWENYA KUANZA KUDAI NAFASI ZA UTEUZI WAZI KIDINI,KIKANDA AU KIKABILA..KIJINSIA??

MAANA KENYA NDIO WAMEFIKA HAPO...HAWAMPI RAIS FURSA KUTEUA KIUTASHI ..AKIJIUZULU KIONGOZI ..KAMA ALITOKA NYANZA ...KESHO YAKE WAZEE WA NYANZA WANAENDA IKULU NA MAJINA YA VIJANA WANAOWATAKA MMOJA WAO NA KUMPA RAIS ....NA INABIDI ATEKELEZE..! WAMEFIKA HAPO BAADA YA WANASIASA KU ABUSE ...FURSA YAO YA KUPANGA SAFU ZA UONGOZI KWA USAWA!!
 
Safu ya wajumbe wa kamati kuu hii hapa Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM as you will see hiyo hesabu uliyotoa haiko sahihi. also note kuwa wajumbe wa Zanzibar ndio wanadetermine ratio itakavyokuwa, hivyo basi kama unaona kuna haja ya kuivalisha CCM udini then ni bora ungesema CCM Zanzibar wanapendelea waislam, kwa sababu wajumbe toka Zanziba wote ni waislam. Ukiangalia wajumbe toka bara utaona uwiano uliopo - thats if you have chosed to be objective, otherwise endelea na propaganda.
 
hakuna propaganda wala nini....???..i am also ccm member...

since it seems you are best placed to denounce my comment...naomba utuwekee basi list ya wajumbe wa kamati kuu!!,halmashauri kuu ,safu za viongozi jumuiyani etc...

tuache siasa ..hatuwezi kuwa na moral authority ya kusema CUF ni wadini AU chadema ni wamajimbo.....kama hatuondoi vibanzi...au watu hawataki kasoro za uchaguzi wa ndani ziongelewe!!
 
Angalia original post niliyokujibu then weka arrow ya PC yako kwenye maandishi ''website rasmi ya CCM'', utafunguka ukurasa wenye majina ya wajumbe wa kamati kuu.
 
Angalia original post niliyokujibu then weka arrow ya PC yako kwenye maandishi ''website rasmi ya CCM'', utafunguka ukurasa wenye majina ya wajumbe wa kamati kuu.

Nd. Pius Msekwa

Makamu

Mwenyekiti (Bara) <!--[if !supportLineBreakNewLine]--><!--[endif]-->
Nd.Jakaya M.Kikwete

Mwenyekiti
Nd. Amani A. A. Karume

Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)

1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)

3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)

4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu

5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe

11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe

14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe

15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe

17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe

19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe

23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe

24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe

25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe

26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe

27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe

33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe

35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe

38. Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

NDIO NIMEONA KATI YA WAJUMBE 38 WA KAMATI KUU CHOMBO CHA JUU KABISA CHA MAAMUZI 14...NI WAKRSTO NA 24 NI WAISLAMU....ALMOST 70% STILL THAT IS REALISTIC?.....
 
Kwanza kiri kuwa asilimia 80 uliyosema si sahihi. Pili hata hiyo almost 70 unayosema sasa pia siyo sahihi, fanya hesabu 24/38 * 100 kama utapata namba inayokaribia 70. Tatu account for members from Zanzibar. Nne jiulize kama uko tayari kukubaliana na majibu utakayopata.
 
halmashauri kuu???..maana lazima makada waelimishwe ili waweze kutetea ....
 
Phillemon Mikael,
visasi tu!!!... leo hii vinapelekea hadi chama cheti imara kama ccm kinageuzwa cha kidini.....umeona wapi ratio za uongozi chamani zimefikia unrealistic representation of the members or country demographic population kiasi huki??...LEO HII KAMATI KUU ASILIMIA 80% SITAFUNI MANENO ...NI WAISLAMU ...WHAT IS THIS MOCKERY???
Niliposoma hoja zako tu nilielewa wazi kwamba wewe ni mdini... Issue inazungumzia Mramba haya maswala ya dini yanatoka wapi.
Imesemekana katajwa Mkapa, Kikwete na Uislaam unatoka wapi kuwakinga Lowassa, na Karamagi ambao ni Wakristu!
Hizi chuki zenu kwa Kikwete kwa sababu ni Muislaam ni utumwa wa kufikiri..Watu kama wewe wanamfuata Yesu kwa sababu ni mtoto wa Mungu, nje ya hapo usingeamini Biblia!..Pole sana.
 
Oh,mjadala umechukua mwelekeo wa DINI...Im sure this marks the dead end of the thread.
 
ni vigumu kuwatia hatiani kwa sheria zilizopo hivyo ni kesi za kisiasa zaidi ni suala muda na wakitoka ni mahakam imeamua ni watu safi
 
Why Is JF jumping into conclusions? Mramba is going straight to Jail kama Mahalu unless they come up with a credible defense of charges they are accused of committing. Short of original (Government) or certified copies (State Organs) they received from the STATE HOUSE giving them authorization to act they are toast. ANY LAWYER IN THE HOUSE!!!

Tanzania law states that official confidential government correspondence cannot be unsealed until after 25 YEARS of the event in question.

Kitu ambacho hawa wawili wanatakiwa kufanya nikutafuta Lawyers who are credible sio wababaishaji PERIOD!. Huyu lawyer for Mramba is appealing to the lowest common denominator in politics Innuendo. Revisionist history is amazing in its breadth and stupidity. This is a preview of EPA cases to follow where all the blame will go to The Late Governor BALALI
 
Hypothetically, Mkapa ndio anathibitishwa kwa namna moja ama nyingine serikali yake ilifanya makosa, kama ilivyo dhihirika katika kuifungia Bawata! Mkapa atafanywa nini?
 
Hapa Petu,
Mkuu unajua sisi wadanganyika wepesi sana kubadilisha kauli za watu wengine. mathlan Mramba kasema alipata Order toka IKULU, watu tayari wameisha jenga hoja kuwa Ikulu ni pamoja na baraza la Mawaziri wakati msemaji mkuu ni Mramba ambaye pia alikuwa baraza hilo hilo na anafahamu nini IKULU na nini Baraza la Mawaziri.lakini hapa JF limepindishwa pindfdishwa ili Mradi tu ionekanae kuwa maneno haya hakuyasema Mramba ila ni Kikwete na mbinu zake za kumdhalilisha Mkapa..
I Mean nashindwa kabisa kuwaelewa Wadanganyika, ni wao walia kila siku Mkapa afikishwe mahakamani, Kikwete kamstiri lakini ushahidi unapoonyesha kuwa Mkapa anahusika kwa njia moja ama nyingine wanarudi nyuma na kumlaumu Kikwete kuwa ni mbinu zake..
Hata sielewi nazidi kuchoka na Wadanganyika.
 
Hypothetically! We are intellectually corrupt to Special-Interest Politics.
Wadanganyika are afflicted with a curable disease called "Stupidity"
 
Back
Top Bottom