Kumekucha Mikoa ya Kusini: UKAWA wakiwa makini Lindi na Mtwara itakuwa 'si hazina yao'

sandefs

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
264
32
Ni Miaka Kumi Sasa Tokea Nitambue Kwamba Tanzania Imegeuzwa Shamba La Bibi Ndipo Nikadhamilia Kuipigani, Katika Vita Hii Ni Miaka 10 Sasa, Nimejifunza Na Kuelewa Aina Ya Silaha Za Adui, Nimemtafiti Vya Kutosha Na Sasa Matunda Ya Juhudi Zangu Yameanza Kuonekana. Vijana Wamejiandikisha Kuingia Vitani, Wazee Sasa Hawaogopi Vita, Akina Mama Na Rushwa Ya Mikopo Kwenye Vikundi Vya Vikoba Wamesema Rushwa Watakula Akili Kumtwe!

Wazee Wangu Wameniomba Nigombee Udiwani, Wazee Wa Wilaya Nao Wameniomba Nigombee Ubunge. Nimewaambia Waniache Nimalizie Kazi Yangu Kwanza, Nataka Wananchi Wapige Risasi Kwa Shabaha Hasa Dec 14, 2014. Jion Tuhesabu, Tubebe USHINDI.. Hawa Jamaa Kwisheni Mwaka Huu.

KUSINI MOTO UMEWAKA HAYUPO WA KUUZIMA.

DRAFT UGOMBEAJI 2015 MKOA WA LINDI;
RUANGWA-CUF
NACHINGWEA-CDM
LIWALE-CUF
LINDI VJJN-CUF
LINDI MJN-CUF
KILWA KUSN-CUF
KILWA KAS-CUF
MCHINGA-CUF
MTAMA-CUF

KESHO NITAWALETEA DRAFT YA MKOA WA MTWARA.

'HAWA JAMAA SINGASINGA AMEWAWEKA KWENYE MFUKO WAKE WA SHATI'

Karibu Kusini
Karibu Nachingwea
 
DRAFT MKOA WA MTWARA:

Mtwara Mjn-Nccr-Mageuzi
Mtwara Vjjn-Cdm
Newala-Cuf
Masasi Mjin-Cdm
Masasi Vjjn-NLD Dr. Makaidi ***
Nanyumbu- Cdm
Tandahimba- Cuf
Lulindi- NLD Mrs Dr. Makaidi ***

HATOKI MTU HAPA MACHEO HATA MAWIO.

USHAURI UNAKARIBISHWA. KARIBUNI NYOTE!
 
Draft ya Mtwara umesema.kesho mbona umeiweka.au.upo.ughaibuni mkuu?Kudos anyway
 
Habari Waungwana Na Wale Buku7 Wa Lumumba, Leo Nipo Tandahimba Kuifuta Ccm. Kuanzia Saa 8 Mchana Nitawaletea Updates. Rafiki Yangu Kundambanda Yupo Mchinga, Bobani Hamidu Yupo Lindi Vijijin Na Kassi Bingwe Anguruma Masasi Wakati Nakanyomwa Anaimaliza Ccm Nachingwea.

Halali Mtu Hapa! Tulipomuuliza Kikwete Gesi Inatokatokaje, Akatukong'ota. Inshallah!
 
Haya CCM mnapotaka kuwashughulikia na kuwasurubu msiwaangalie sura vaeni kininja kama alivyoshuri mbunge wa mwibara.
 
DRAFT MKOA WA MTWARA:

Mtwara Mjn-Nccr-Mageuzi
Mtwara Vjjn-Cdm
Newala-Cuf
Masasi Mjin-Cdm
Masasi Vjjn-NLD Dr. Makaidi ***
Nanyumbu- Cdm
Tandahimba- Cuf
Lulindi- NLD Mrs Dr. Makaidi ***

HATOKI MTU HAPA MACHEO HATA MAWIO.

USHAURI UNAKARIBISHWA. KARIBUNI NYOTE!

Mkuu no bora kama ukitupia update kwenye uzi Mama Hapo juu ili kuleta floo nzuri kabisa ya taarifa.
Thanks
 
Habari Waungwana Na Wale Buku7 Wa Lumumba, Leo Nipo Tandahimba Kuifuta Ccm. Kuanzia Saa 8 Mchana Nitawaletea Updates. Rafiki Yangu Kundambanda Yupo Mchinga, Bobani Hamidu Yupo Lindi Vijijin Na Kassi Bingwe Anguruma Masasi Wakati Nakanyomwa Anaimaliza Ccm Nachingwea.

Halali Mtu Hapa! Tulipomuuliza Kikwete Gesi Inatokatokaje, Akatukong'ota. Inshallah!

Big up sana mkuu pigieni chini hata wakimleta Mahiza Mantunu kwani yeye ndo anapiga kura
 
Habari Waungwana Na Wale Buku7 Wa Lumumba, Leo Nipo Tandahimba Kuifuta Ccm. Kuanzia Saa 8 Mchana Nitawaletea Updates. Rafiki Yangu Kundambanda Yupo Mchinga, Bobani Hamidu Yupo Lindi Vijijin Na Kassi Bingwe Anguruma Masasi Wakati Nakanyomwa Anaimaliza Ccm Nachingwea.

Halali Mtu Hapa! Tulipomuuliza Kikwete Gesi Inatokatokaje, Akatukong'ota. Inshallah!
Mara ya kwanza ulipotaja Lindi Vijijini miongoni mwa majimbo nikadhani umekosea na hapa umerudia tena... labda mimi ndio nisiyefahamu; hebu tujuzane! Kwa sasa Mbunge wa Lindi Vijijini ni nani?
 
Mara ya kwanza ulipotaja Lindi Vijijini miongoni mwa majimbo nikadhani umekosea na hapa umerudia tena... labda mimi ndio nisiyefahamu; hebu tujuzane! Kwa sasa Mbunge wa Lindi Vijijini ni nani?

Majimbo ya MCHINGA na Mtama ndiyo lilikuwa zamani linaitwa Lindi Vijijini!Baada ya kugawanywa ndipo Lindi Vijijini ikafa yakazaliwa majimbo haya mapya mawili!Lkn yote yapo Jimbo la Lindi Vijijini

Ni halali kusema Said Mtanda Ni mbunge wa Lindi Vijijini kama HUTAKI KUITA Jimbo hilo kama Mchinga na sio dhambi kusema Membe ni Mbunge pia wa Lindi Vijijini kama hutaki kutumia jina la Jimbo la Mtama!

Kumbuka kuwa kiserikali Jimbo hili linahudumiwa tu kama Lindi Vijijini ambapo DC wake ni Hemed Nassoro
 
Hakuna usahihi wowote kwa sababu hivi sasa hakuna jimbo la uchaguzi linaloitwa Lindi Vijijini kama ulivyosema kwahiyo sio sahihi vile vile kusema
Rafiki Yangu Kundambanda Yupo Mchinga
na
Bobani Hamidu Yupo Lindi Vijijini
kwani ni sawa sawa na kusema X yupo Temeke na Y yupo Dar es salaam!! Kama ilikuwa ni lazima kutumia reference ya Lindi Vijijini, basi angeondoa suala la Mchinga na kusema Kundambanda na Boban wapo Lindi Vijijini vinginevyo kwa mtu asiyefahamu anaweza kudhani Lindi Vijijini na Mchinga ni majimbo mawili tofauti, kwamba Lindi Vijijini nayo ni jimbo la uchaguzi!

Kuhusu CUF kushinda kwenye hayo majimbo, ni rahisi sana kwao kushinda Jimbo la Mchinga na sio Mtama. Endapo CUF wangekuwa serious, jimbo la Mchinga ingekuwa wamelichukua tangu zamani!!! Ukimchulia Mudhihiri kwa mfano, yeye alikuwa anategemea sana kura za watu wa pande za Mchinga kwavile ndio kwao kwahiyo endapo wakati ule CUF wangewekeza sana kwenye vijiji vya Jimbo la Mchinga vinavyopakana na jimbo la Mtama, CUF wangeweza kubeba jimbo coz' watu wa kule walikuwa hawamfagilii kabisa Mudhihiri na matokeo yake walikuwa wanaishia tu kuipigia CCM, na sababu kubwa ikiwa ni kwa ajili ya kumuunga mkono Membe na sio Mudhihiri!
 
Back
Top Bottom