Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

Status
Not open for further replies.
Kamanda PakaJimmy,Nyumbu & A town wote.

Mwaka 2015 nagombea ubunge tafadhalini sana naomba msaada wa hali na mali Mjengoni vipo vitu vya kufa mtu.
 
jamani nime fall kwa bodigadi wa vicky kamata.....mwenye mawasiliano pleaseee!
 
nimemkubali sana SUGU is our new inspiration ........aisee ngoja nijiandae kugombea jimbo la moshi vijijini kwa tiketi ya Chadema, nitaweka kila kitu baadaye hapo, juu ya mipango yangu
 
Kuna watu humu jamvini hamna tofouti na wachakachuaji mikataba na kura Deep Green ila nyie mnachakachua micharuko
 
TUMEKWISHA HUKO MJENGONI. VIMWANA VIMESHEHENI SHANGA MIGUUNI. LA MSINGI "THEY SHOUL NOT LOOK BEYOND PANTS"[/QUOTE]
====
Duh! ukiona shanga miguuni ziko hivi, na kiunoni je?

Please, with a light touch:)
 
halima mdee ananyoa ndevu??? mbona uso uko vile au ndo mikiki ya kampeni????
I am happy niwaonapo wapambanaji wakiwasili bungeni. naona SITTA anakosa ule ujasiri wake wa kawaida anafanya kazi ya steward mlangoni hahaha

Ficha upumbavu wako wewe, hatujawachagua kuuza sura, bali kutetea haki za watanzania na kuleta maendeleo. Kama huna chakusema funga mdomo wako. Na shida yako kama ni kushabikia vimini kawaangalie akina Vicky Kamata wa ccm.
 
Sijabahatika kufika dodoma au kuliona jengo la bunge kwenye picha au live lakini leo nimeliona hapa JF, mbona linaomwonekano wa kama msikiti??? nani ali-design, nani alifadhili ujenzi wake? au ndio maandalizi ya OIC membership
 
Sijabahatika kufika dodoma au kuliona jengo la bunge kwenye picha au live lakini leo nimeliona hapa JF, mbona linaomwonekano wa kama msikiti??? nani ali-design, nani alifadhili ujenzi wake? au ndio maandalizi ya OIC membership

Rubbish!!!

Mbona na Ikulu hujalalamikia?
 
Hilo bunge litakuwa moto sana...hebu lete na picha za akina Wenje na Lissu!!
Wenje.jpg

Haya wenje na Highness na Mkosamali mjengoni
 
huyo binti mwenye suti ya kijivu katoka mchicha amenawiri kabla hajaanza kupokea mishahara teh teh teh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom