Kumchungulia mkeo msalani

Yawezekana kweli?! au na wewe umekuja na konkulusheni!
Hebu fikiria, nikwanini usimwambie mwenza wako unachotaka na kitakachokuridhisha kuliko kwenda kumchungulia ******? mimi ninafikiri hapa swala muhimu ni kukosekana kwa mawasiliano,watu wawili walioamua kushare miili yao inabidi wazungumze! Ni katika mazungumzo unaweza kumjua mwenzako na kufanya kile anachotaka, lakini hawa wote kila mtu hajiamini mbele ya mwenzake na ndio maana mwanamke anajifunukafunika na mwanaume anaishia kuchungulia. au labda mwanaume kila wakati anayakosoa maumbile ya mwanamke na mwanamke anakosa uhuru wa kukaa 'wazi' kwa mwenzake. kwa ujumla wana tatizo. jamani tuanze kuzungumza,tuambiane ukweli,na kama unaona mwenzako ana aibu jaribu kumtoa aibu akuone rafiki,zaidi ya yote usikosoe maumbile ambayo hakuna mtu mwenye uwezo wa kuyarekebisha.

kukosoa iwe tabu lakini kusifia ruksa ingawa hakuna mtu anaweza kurekebisha maumbile yake?

bado sababu ni demu kujifunikafunika bila sababu za msingi. ningekuwa na uwezo ningeweka sheria inayokataza mtu kuvaa nguo akiwa chumbani ili kukomesha chabo kama hizi!

jaribu kunyooosha tena mkuu, hakijaeleweka
 
Huu ni upotevu wa maadili na pia naweza kusema ni matatizoau athari za kisaikolojia kwani ukiwa kama mtu mzima, mkeo mmeona ili muweze kubarikiwa mambo yoote ya ndani. Ni kitu gani ambacho wewe kama mume hujui kuhusu mwanamke?Ukizingatia wanawake wote wako sawa kama mkeo kimaumbile. Huyu anapaswa akapimwe na wataalamu wa saikolojia.

kitu gani hajui kwani yeye daktari wa magonjwa ya wanawake? sasa kama mama kajifunikafunika atamjuaje?

kwa kuzingatia apo peusi wahi mapema mirembe! nani kakuambia ma-she wote wako sawa? he!..............heeeeeeeeeeee! hujatest mkuu wewe, wanadivert kishenzi!,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom