Kumchungulia mkeo msalani

haya ni maendeleo makubwa kulikoni maendeleo yaliopatikana na ccm kwa zaidi ya miaka zaidi ya arobaini. vipi na eapoti mnahisi ibaki jina la mwalimu au tuibatize jina la mc?
Dahhh! mpaka eapoti kwa lipi hasa, huo mtaa na pub zinatosha kumuenzi.
 
deh deh deh! mazee una memori kali kuliko japaniz cheap! bado kanatapika tapika!
kwa hiyo sasa hivi mazee unashinda BUGURUNI-KWA-WAHAYA??!!!natamani kweli mke wangu akonsivu ili nianze kutoka nje!nitakuwa naenda mwananyamala-kwa-wahaya:D
 
deh deh dehh! hiyo kitu usiombe! hawa kinadada wakikonsivu wanakuwa na kasheshe kuliko serikali ya china. haka kawaifu kangu samtaimu kananitemea mate kwenye mchuzi. lakini komandoo nakunywa mchuzi na midinaiti naomba agrikalcha fasti aka kilimo kwanza. miezi 9 ikimaliza naenda kutafta dawa ya upara, by zat taimu nywele zote zitakuwa zimenyonyoka bikozi of zis saden chenji of mai waifu.
 
HAHAHAHAHAHAHAHAH!
SIJAWAHI KUCHEKA KAMA LEO

KWAKWELI FANSIDA HAYA BWANA!...............sasa agrikacha fast na kale katumbo inakuwaje sasa?hauumizi katoto?
 
Hilo dume lingekuwa langu ningelipa adhabu ya kulifungia ndani wiki nzima na kuniangalia nikiwa uchi. Yani hakuna kuvaa nguo wiki nzima halafu nione kama klitarudia.
 
hapo inabidi zile staili za mauwaji aka mc lema staili uziepuke azawaizi mama mtoto na kazaigoti katatangulia ahera.hapa inabidi utumie staili ya "chura kachoka" tu.
foo moo infomesheni, naandaa sredi spesheli kuhusiana na hili.
 
hehehe!....
na hawa wanawake na hii staili ya kutuua tukiwa VIUNONI IMENITISHA SANA!ukweli usiku wa kuamkia leo nimesita sana KUDUMISHA MILA NA KAZI ZA NJE!..huwezi amini MTARIMBO HAUKUSIMIKA KABISA,MAANA TASWIRA YA EMSII LEMA ILIKUWA INAKUJA KICHWANI
 
tunahitaji kuifariji familia ya marehemu bikozi watu kibao wamemuwekea ngumu jasti bikozi kafa vitani kwenye kampeni ya uzazi wa mpangilio.

" Ni nani basi asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumponda mama huyu mawe??
kufumba na kufumbua hakuna hata mmoja aliyebaki mahali hapo
 
Hilo dume lingekuwa langu ningelipa adhabu ya kulifungia ndani wiki nzima na kuniangalia nikiwa uchi. Yani hakuna kuvaa nguo wiki nzima halafu nione kama klitarudia.
hii azabu mama IMETULIA!infakti ungeitoa kwa WAPIGA CHABO WOOOTE!bila kujali mahusiano
 
hehehe!....
na hawa wanawake na hii staili ya kutuua tukiwa VIUNONI IMENITISHA SANA!ukweli usiku wa kuamkia leo nimesita sana KUDUMISHA MILA NA KAZI ZA NJE!..huwezi amini MTARIMBO HAUKUSIMIKA KABISA,MAANA TASWIRA YA EMSII LEMA ILIKUWA INAKUJA KICHWANI
Utaniua kwa kucheka mpwa! lol
Kwa hiyo wify alikuwa akikwabia binjuka kivile unaishiwa nguvu? kweli mc lema kaacha fundisho.
 
Bora umeandika wewe
Nikiandika mimi visa kama hivi
Mtu kama The Boss anasema 'mbofu sana'
Where are you The Boss?
I want to see your comment on this matter?
 
HAHAHAHAHAHAHAHAH!
SIJAWAHI KUCHEKA KAMA LEO

KWAKWELI FANSIDA HAYA BWANA!...............sasa agrikacha fast na kale katumbo inakuwaje sasa?hauumizi katoto?
hahahaaaa,
mkuu kliki hapa uone majambozzzzz ya wajawepesi
 
hehehe!....
na hawa wanawake na hii staili ya kutuua tukiwa VIUNONI IMENITISHA SANA!ukweli usiku wa kuamkia leo nimesita sana KUDUMISHA MILA NA KAZI ZA NJE!..huwezi amini MTARIMBO HAUKUSIMIKA KABISA,MAANA TASWIRA YA EMSII LEMA ILIKUWA INAKUJA KICHWANI
deh deh deh! hii kesi nzito sana! inaweza ikapunguza spidi ya ukimwi indairektli.
 
Utaniua kwa kucheka mpwa! lol
Kwa hiyo wify alikuwa akikwabia binjuka kivile unaishiwa nguvu? kweli mc lema kaacha fundisho.
wee acha tu!staili hii ya wanawake KUENDELEA KUPUNGUZA IDADI YA WANAUME inanipa stress!imefikia mahala naanza kuiogopa 13/02/2010
 
deh deh deh! hii kesi nzito sana! inaweza ikapunguza spidi ya ukimwi indairektli.
hii mambo inatisha bwana!sasa hivi dem ukimuaprochi ukiona anakubali gemu kirahisi rahisi STUKA!...huenda ni ISRAELI(MTOA-ROHO),,,,:D
 
" Ni nani basi asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumponda mama huyu mawe??
kufumba na kufumbua hakuna hata mmoja aliyebaki mahali hapo
kumbe kafestiledi ni kahubiri kazuri sana! nitaanza kukatumia masuali ya imani kupitia PM.
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu jana usiku nusura apigwe na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akimchungulia mtu aliyeko ******, kama mjuavyo wadau nyumba zetu za kitaani choo cha nje, bibie alisimulia baada ya tukio kuwa jamaa alikuwa naye ndani, mara ghafla tumbo likamzingua akaamua kukimbilia toilet, lakini akiwa huko akiendelea na shughuli akasikia purukushani nyuma ya choo, alipotoka akakuata mumewe anataka kupigwa kisa eti alikuwa anakula chabo ******, ndipo ilipobainika kuwa kumbe jamaa ndiyo mchezo wake, keshawachungulia sana wake wa wapangaji wenzake na walikuwa kila wakimuuliza anakataa sasa jana wakamdaka tena akimchungulia mkewe, waungwana tabia hii inatokana na nini?, ni matatizo ya akilii au saikolojia?

He he he..this is gross.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom