Kumbukumbu ya kifo cha baba

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Ndugu wanajamii, napenda kuwashirikisha kumbukumbu ya miaka 11 tangu marehemu baba yangu alipoaga dunia. Ilikuwa ghafla sana, bila kuugua, bila kusema neno la mwisho alipokuwa safarini. Uchunguzi wa kidaktari ulibaini kuwa chanzo cha kifo ilikuwa ni blood pressure. Kila inapofika tarehe ya leo huwa natafakari sana juu ya tukio hilo. Namshukuru baba kwa kuwa alituachia misingi imara amabayo imetuwezesha kuwa pamoja katika familia na mwaka huu mtoto wa mwisho katika familia amefanikiwa kuhitimu masomo yake pale Tumaini Iringa.

Naposikia kibwagizo cha Twanga Pepeta cha "baba babaaaaaa - upo wapi wapi baba, nakuita baba" huwa kinanifanya kuimarisha tafakari yangu.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe daima ........ Amina
 
Too Bad!
pOLE NDUGU YANGU!
mUENZI BABA YAKO KWA BUSARA, na usimamie aliyosimamia!
Kwa mimi mkatoliki nakwambia pia MUOMBEE!
 
Mungu aendelee kuwatia nguvu katika familia nzima .
Naungana na wewe katika kumbukumbu hii ya baba yako mpenzi .
Endeleeni kudumu katika imani na maombi
 
avatar17682_9.gif
FirstLady1 tafadhali usibadili picha bana!...tumeizoweya ile nzuri!...huh!
 
Too Bad!
pOLE NDUGU YANGU!
mUENZI BABA YAKO KWA BUSARA, na usimamie aliyosimamia!
Kwa mimi mkatoliki nakwambia pia MUOMBEE!

Asante kwa matashi yako mema. Huwa nasali na kuomba mara kwa mara. Leo hii nyumbani kutakuwa na misa ya kumbukumbu
 
Too Bad!
pOLE NDUGU YANGU!
mUENZI BABA YAKO KWA BUSARA, na usimamie aliyosimamia!
Kwa mimi mkatoliki nakwambia pia MUOMBEE!

Asante kwa matashi yako mema. Huwa nasali na kuomba mara kwa mara. Leo hii nyumbani kutakuwa na misa ya kumbukumbu
 
Mungu aendelee kuwatia nguvu katika familia nzima .
Naungana na wewe katika kumbukumbu hii ya baba yako mpenzi .
Endeleeni kudumu katika imani na maombi

Asante sana Firs Lady, tunazidi kusakli na kuomba daima
 
Back
Top Bottom