Kumbukumbu ya 30yrs ya kifo cha mwanamapinduzi Bob Marley

Jikombe

JF-Expert Member
May 13, 2010
704
678
Dunia leo inaadhimisha miaka 30 ya kicho cha mwanamapinduzi Robert Nesta Marley.
Music wake ulichangia kuleta hisia za kimapinduzi. Mchano wake uliheshimika sana hadi kupewa nishani ya amani na umoja wa mataifa .

Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake za kimapinduzi kama:
1. Revolution
2. Babylon Chant
3. Redemption Song
4.Africa Unite

Ninamkumbuka kwa mchango wake mkubwa wa kimapinduzi.

R.I.P
 
Don't worry about a thing
Coz every little thing is gona be alrite..

HE WAS A LEGEND...
LOVE HIM TO BITS...
 
Bob_Marley__Smoking_.jpg

R.I.P Bob!
 
....R.I.P Legendary BOB MARLEY....!

(6 FEBRUARY 1945 – 11 MAY 1981)
p { margin-bottom: 0.08in; } Nesta Robert Marley aka Bob Marley,mtunzi na mwanamuziki maarufu wa reggae toka Jamaica,leo ametimiza miaka 30 tangu alipofariki dunia tarehe 11 May 1981,akiwa na miaka 36

Bob Marley alizaliwa katika kijiji cha Nile Mile,Jamaica na alitamba na nyimbo kali za reggae kama No woman no cry,Jamming,One Love,buffalo Soldier nk huku akiwa ameacha watoto 11,watatu akiwa amezaa na Rita Marley wawili wa kuasili na waliobaki to kwa mama tofauti....

BOB MARLEY & THE WAILERS
Na enzi za uhai wake alijipatia umaarufu sana kupitia kundi lake la Bob Marley & The Wailers lililoundwa mwaka 1963 pamoja na Peter Tosh na Bunny Wailer,pia lililokua na wakali kama Bunny Wailer,Peter Tosh,Aston Barrett na wengine kibao
 
Japo alikuwa akivuta BANGI sana, pia ilikua ikimpa mawazo 'after meditation', alitangaza vita juu ya Ubepari, unyanyapaa na ukoloni mambo leo...kaimba("get what you want.......want more...want more!..) mambo tunayoyaona hivi sasa.

RIP (Najaribu kukataa, lakini kuna uwezekano, wazungu walimpangia kumuuua!!)
 
Kunauwezekana mkubwa Mafisadi wali m-inject cancer. Bob alikuwa ni tishio kwa maslahi yao. aliwapinga waziwazi thru his Music. Muziki wake uliwangia watu wengi, aliweza kuhamashisha vijana wahacha machafuko ya kisiasa inchi mwake kwa usiku mmoja tu na akafanikiwa....Inaonyesha jinsi gani alikubalika kwa wengi.

He didnt lose his Identity of an African....he was always remind his fellow Africans and other who found thelseves in captive to re-think.

His music still leave with us..everyday.
 
Life is one big road with lots of signs. So when you riding through the ruts, don't complicate your mind. Flee from hate, mischief and jealousy. Don't bury your thoughts, put your vision to reality . Wake Up and Live! -----Bob Marley Quotes
 
"The greatness of a man is not in how much wealth he acquires, but in his integrity and his ability to affect those around him positively"
- Bob Marley

When one door is closed, don't you know that many more are open"
- Bob Marley

"Live for yourself and you will live in vain;
Live for others, and you will live again."
- Bob Marley

"It's your own conscience
That is gonna remind you
That it's your heart and nobody else's
That is gonna judge."
- Bob Marley

 
Kunauwezekana mkubwa Mafisadi wali m-inject cancer. Bob alikuwa ni tishio kwa maslahi yao. aliwapinga waziwazi thru his Music. Muziki wake uliwangia watu wengi, aliweza kuhamashisha vijana wahacha machafuko ya kisiasa inchi mwake kwa usiku mmoja tu na akafanikiwa....Inaonyesha jinsi gani alikubalika kwa wengi.

He didnt lose his Identity of an African....he was always remind his fellow Africans and other who found thelseves in captive to re-think.

His music still leave with us..everyday.

Despite the fact that his father was caucasian, Bob Marley was very proud and had always identified himself as African. He always cherished and expressed his love for Africa and its people. He was the true son of Africa. Long live Robert Nesta Berhane Sellassie Marley
 
"He's not perfect. You aren't either, and the two of you will never be perfect. But if he can make you laugh at least once, causes you to think twice, and if he admits to being human and making mistakes, hold onto him and give him the most you can. He isn't going to quote poetry, he's not thinking about you every moment, but he will give you a part of him that he knows you could break. Don't hurt him, don't change him, and don't expect for more than he can give. Don't analyze. Smile when he makes you happy, yell when he makes you mad, and miss him when he's not there. Love hard when there is love to be had. Because perfect guys don't exist, but there's always one guy that is perfect for you."
- Bob Marley
 
"The greatness of a man is not in how much wealth he acquires, but in his integrity and his ability to affect those around him positively"
— Bob Marley

When one door is closed, don't you know that many more are open"
— Bob Marley

"Live for yourself and you will live in vain;
Live for others, and you will live again."
— Bob Marley

"It's your own conscience
That is gonna remind you
That it's your heart and nobody else's
That is gonna judge."
— Bob Marley



Dah, namkumbuka sana huyu Legend,
binafsi huwa namzimia sana, he was a hero, a true revolutionist!!!!!!!
Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama,
Three little birds,
zion train,
I shot the sheriff,
Waiting in vain,
who the cap fit,
lol...just few to mention
 
In this great future,you cant forget your past,, so dry your tears i say....Bob hawezi kusahaulika kamwe! R.I.P
 
Dah mzee wa Aire, RIP, gone too soon mwanamapinduzi. Hivi kansa yake haikuwa ya kupandikiza kweli?manake he was a threat to the capitalists.
 
Bob Marley GONE Lucky Dube GONE WHO IS LEFT????

Afande Sele, inawezaka bangi inawapelekea kuwza mambo ya msingi sana. Manake Sele nae tungo zake ni nzuri sana.Though hajafikia kiwango cha Bob Marley na Lucky Dube hilo liko wazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom