Kumbukumbu, Angalizo, Halaiki.....

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
:yawn:
Hii ni sehemu ya Jukwaa maalumu kwa jili ya wananchama wa CCM waliohamia CHADEMA. Kwasasa wanhutubia madiwani, muda mfupi ujao viongozi wa kitaifa watafika viwanjani hapa..​
Kamanda Mbowe akiingia viwanjani hapo. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche​
Baadhi ya wananchama wa CCM wakicheza nyimbo za CHADEMA kabla ya hotuba kuanza​
Baadhi ya mabango yanasomeka hivi…​


<abbr>kwa hisani ya arusha255.blogspot.com</abbr>
 
Back
Top Bottom